Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Duh😄😄Hakuna Mungu kama wewe
Mvua inarutubisha vitu vyote
Gospel za disco hizo.
Hakuna Mungu kama wewe.
Mvua inarutubisha vitu vyote..
Tumeuona mkono wa bwana...
Gospel za disco hizo.
Duh, hii ilipigwa club flani kanda ya kati ilinoga balaa [emoji23][emoji23][emoji23]"Tumeuona mkono wako bwanaaa"ikipigwaa hii lazima watu wasimamee[emoji3]
Basi nilidhani ni Mimi tu ndio naifeelYani sijui kwanini huwa ni tamu hii kitu?
Unapokunywa pombe kuna kipindi akili inachangamka sana na kufikiria only positive issues.Wakuu,
Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!
Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.
AmenSifa na utukufu ni zake mwenye enzi Mungu
Inakuwa na mguso wa kipekee sanaNakumbuka kuna siku billz ilipigwa Hakuna Mungu kama wewe Baba. Halafu kichwani nina Savannah zangu 5...hatari utasema ni muimba kwaya ya kijitonyama[emoji23][emoji23][emoji23]