Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa


dah wabongo kwa kukomoana hatujambo... nakumbuka mwalimu wangu wa physics A LEVEL aliniambia yanayotokea wakati wa kutunga mitihani katika maswali yaliyopendekezwa ikatokea kuna swali rahisi (direct qn) ambalo mwanafunzi hatopata shida kulifanya linaondolewa na kuwekwa swali ambalo hakuna mwanafunzi atakaelipata... na hii imetokea mara zote...
vinginevyo umeongea point nzuri sana. tatizo kubwa vyuo vya private hasa hapo st. joseph ni ada tu...
 
Women empowerment I guess, si mnataka haki sawa and frankly speaking, you can't get that on your own. So there is where Newton's First law of motion has to be applied. "Ni mtazamo wangu tu aseeee"

A body continues to move in the straight line when external force stops acting on the body
 
pole sana amini mungu yupo hakuna lisilishindikana kwake kwa wamuaminio mtangulize kwa kila jambo. then tia msuli mgumu utanambia
 
Mimi nilimaliza electrical general kwa 4.8, tatizo ya vijana wanaingia electrical power ni vilaza sana siku hizi, wao ni mademu, pombe na instragram, mie ni lectrure hapo hao sita sizan kama mtamaliza, lets wait n see, mwalimu udsm
 
Mimi nilimaliza electrical general kwa 4.8, tatizo ya vijana wanaingia electrical power ni vilaza sana siku hizi, wao ni mademu, pombe na instragram, mie ni lectrure hapo hao sita sizan kama mtamaliza, lets wait n see, mwalimu udsm

hebu fafanua vzr mkuu,,,,samahn lakin
 
Thanks for giving, kama wadau wengi waliovyoeleza hapo juu, electrical power wanachukua point za chini kidogo hawa vijana wanashindwa kustahimili mziki hii si mara kwanza kwa sisi wakongwe wa foe tunajua mziki uliokuwa pale eng, 4.8 ni gpa, kuna ufafanuzi gan, infact mimi ni very senior for the matter of confidential sitaweza kupa mwaka wangu kwakuwa mimi ni lecture hapo udsm
 
Last edited by a moderator:

Ila ukishamjua mtoa post huko chuoni usimwingize nyavuni ndugu lecturer tafadhali,
Yaishia JF hukuhuku.
 
Last edited by a moderator:
Hatima ya mikopo waliyopewa na serikali ni nini?hizi taratibu ni mbovu na ni hasara kwa taifa.
 
coet nini bhana, coict ndo habari ya mjini.
 

Acha fiksi QUMAMAK.O
 
Last edited by a moderator:
umeongea kweli ila mkuu, ila kozi kuchukua watu waliofanya vizuri sana sio ndo kigezo cha kua kozi ngumu.
 
watu Tumekula Vitu ngumu...Maticha ya palee full ungangabee ma kina Shirima daah sinaga ham nayo kubabeki...ma quiz y kushtukiza kam umedoj...lzm sept conf ikuhusuu..vitu vigum..hayana huruma!!desa mwanzo mwinga...hadi macho hayaoni

_Fluid mechanics
_Project
_Concrete
_Maji magum maji lainii...haha Mcoet najua ananielewa namaanisha nn apa

Achana na Civil watu walidisco sana!!!

hahahaa Module za Motoo
 
Ni kweli civil ni mziki mzito sana, kuna kijana anatukana hapo juu, ☝☝ sasa 4.8 ni kiti cha ajabu, pale foe enzi zetu point tatu ilikuwa ya kitu cha kawaida, na unaweza usipate degree ukileta masihala, sisi ndio wazee wa foe( faculty of engineering), enzi hizo foe hata vyoo vya kike havipo pale, dah
 
Huwa siamini kwenye shule ngumu. Udsm nasoma hapo zaid ya complicating issues hawana jipya. Jaman kusoma sio adhabu kusona ni kukuza stadium za kutawala mazingira. Hvi drsa zima wanapofel lecturer yule wa nn? Inatakiwa tu-adopt Sera ya no child left behind failure ya mwanafunzi 1 ina cost staff nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…