Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,
Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
Huwa siamini kwenye shule ngumu. Udsm nasoma hapo zaid ya complicating issues hawana jipya. Jaman kusoma sio adhabu kusona ni kukuza stadium za kutawala mazingira. Hvi drsa zima wanapofel lecturer yule wa nn? Inatakiwa tu-adopt Sera ya no child left behind failure ya mwanafunzi 1 ina cost staff nzima.
Acha fiksi QUMAMAK.O
We QUM.A nani katukana hapo?mods mpigeni ban ya maisha huyu mpuuzi, kulikuwa na haja gani ya kutukana?
DuuhTulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,
Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
Kuna maisha Bora hata kabla ya hiyo PhD!Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,
Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
Wanakulaje raha wakati hata bumu hawana, au wanapewa kiduchu.watoto wa siku hizi starehe nyingi.Mi niko hapa tangu FOE hadi leo, naona tofauti kubwa sana iliyopo kati ya wanafunzi wa FOE na COET.Siku hizi yaani wanafunzi wanakula raha kama mangwini.
Udsm na vyuo vingine vinapaswa kubadili mitaala na kufundisha vitu practical. Kuna wakati tunaona wanachuo wa engineering hapo udsm, wakisolve papers tu na wanafaulu vizuri. Wakirudi utasikia wakisema karudisha ya mwaka huu au ule.Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,
Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
Endeleeni kupambana Mkuu... Japo Huku Kitaa Akili Za Darasani Hazina Undugu Na Akili Za MtaaniTulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,
Sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
Miaka inaenda Perry ulishamaliza chuo,kuolewa na sasa una mapacha kabisa,hongera sanaTulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,