kwa kweli hilo ni suala zuriMaiti mmeziona au ndo kama Osama alivyouwawa!
ukishasema ni mshukiwa ina maana bado hana tuhuma sio sawa kumuua mpaka mahakama ithibitisshe tuhuma hizo
wamekutwa na silaha na wakapambana na polisi,acha wararuliwe tu hakuna namnaukishasema ni mshukiwa ina maana bado hana tuhuma sio sawa kumuua mpaka mahakama ithibitisshe tuhuma hizo
shida ni kwamba siliamini hili geshi .........................wamekutwa na silaha na wakapambana na polisi,acha wararuliwe tu hakuna namna
ngoja nikwambie jana huku kwetu temeke mida ya saa mbili kulikuwa na kurushiana risasi kati ya hao magaidi na polisi,mmoja ameuawa mwingine kapigwa za miguu,niambie hapo bado unawaita hao ni watuhumiwa ??mtu anarushia polisi risasi bado akiuliwa unamwita alikuwa mtuhumiwa??Hivi si mtaua watu wasio na hatia
"Mtuhumiwa " which means ma police hawana
Uhakika kama ni wao wenye kosa au La.
Kwa hili sikubali nalo.
Mkuu nenda wewe kawakamate hao magaidi ndio tutakuamini.shida ni kwamba siliamini hili geshi .........................
Huyo aliyepigwa mguuni, ingempata kifuani ingekua poa sana.ngoja nikwambie jana huku kwetu temeke mida ya saa mbili kulikuwa na kurushiana risasi kati ya hao magaidi na polisi,mmoja ameuawa mwingine kapigwa za miguu,niambie hapo bado unawaita hao ni watuhumiwa ??mtu anarushia polisi risasi bado akiuliwa unamwita alikuwa mtuhumiwa??
Hayo ni maneno yako.ngoja nikwambie jana huku kwetu temeke mida ya saa mbili kulikuwa na kurushiana risasi kati ya hao magaidi na polisi,mmoja ameuawa mwingine kapigwa za miguu,niambie hapo bado unawaita hao ni watuhumiwa ??mtu anarushia polisi risasi bado akiuliwa unamwita alikuwa mtuhumiwa??
hujanijibu swali langu na mimi,bado huyo mtu unamuita mtuhumiwa??Hayo ni maneno yako.
Je una uhakika gani ndio walio ua watu
Msikitini?
ngoja nikwambie jana huku kwetu temeke mida ya saa mbili kulikuwa na kurushiana risasi kati ya hao magaidi na polisi,mmoja ameuawa mwingine kapigwa za miguu,niambie hapo bado unawaita hao ni watuhumiwa ??mtu anarushia polisi risasi bado akiuliwa unamwita alikuwa mtuhumiwa??
Acha porojo wewe.hujanijibu swali langu na mimi,bado huyo mtu unamuita mtuhumiwa??
na hilo swali lako najua wangekuwa FBI ungewaamini lakini kwakuwa ni askari wa upelelezi wa bongo basi doubt kibao......
Sasa hapo aliyeuawa kwa kujibizana risasi na polisi ulitegemea nini, apewe chakula cha jela na kupotezea watu muda wa kesi kotini. Yaani ukinyanyua bastola na kuanza kuwafyatulia polisi risasi, hamna haja ya wewe kuishi tena. Wapigwe, tena risasi za kichwa na kuhakikisha wamekufa kabisa.
Mtuhumiwa sahihi ni yule anayejisalimisha kwa polisi kwa njia za amani. Ndio hapo utaeleweka na kupelekwa mahakamani ukawazuge watu na kesi zisizoisha na mawakili wachumia tumbo.