Dah! Hili la kuwaua washukiwa wa ugaidi nawahapa hongera Tanzania

Kwa mara ya kwanza makubaliana na wewe
 
Hivi si mtaua watu wasio na hatia
"Mtuhumiwa " which means ma police hawana
Uhakika kama ni wao wenye kosa au La.

Kwa hili sikubali nalo.

mtu umepambana nae kwa silaha, nayeye anajibu mapigo bado unamwita mtuhumiwa? "hakuna polisi jamii kati ya jambazi/gaidi na polisi"
 
Tanzania magaid tunawepeleka haraka wakapate mabikra 70 kila mmoja inshallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…