Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmeongeaZitto is just another useless lawyer with zero proven work ethic. It's only in Africa where smooth talking but useless lawyers make it in politics.
While China is making use of scientists, engineers etc in politics, we keep electing people who only talk and produce nothing!!!!
Magufuli achape kazi!!
Tundu lisu ndo nani atiii?
1. Ka chama ka Zitto kabwe kila mwaka kanapata hati chafu kutoka kwa CAG
2. Uhalifu(Ubakaji) wa "Teleza" upo tu kwa Jimbo lake - Hawezi kaa chini na vijana wenzake awafundishe maadili mema
3. Ushawishi wake mdogo sana, maana ukikaa naye unajua ni mtu wa mdomo tu zero action hata Chadema walimfukuza
Zitto is just another useless lawyer with zero proven work ethic. It's only in Africa where smooth talking but useless lawyers make it in politics.
While China is making use of scientists, engineers etc in politics, we keep electing people who only talk and produce nothing!!!!
Magufuli achape kazi!!
Sikusema Zitto hana ushawishi kwa malofa kama wewe, ila idadi ya mazazwa imepungua sana imebakia wewe na yeyeWewe ushawishi wako huwezi shawishiii hata mulevi
Don't make a promise you can't fulfill...
Akili ipi anayo Chama limemfia kabaki peke yake, wewe Familia ya watu wa5 wamekushinda kuongoza unata upewe mtaa? Una kichaaAfrika watu wenye akili HAWATAKIWI.
Ndio maana kina Tundu Lissu wanapigwa risasi 38 wakati kina Musiba, Lusinde na Musukuma ndio wanaopendwa na watawala.
Umemsahau mtu wa kwanza aliekutindua ri.nda mara ya kwanza?Tundu lisu ndo nani atiii?
Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.
Yego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afrika watu wenye akili HAWATAKIWI.
Ndio maana kina Tundu Lissu wanapigwa risasi 38 wakati kina Musiba, Lusinde na Musukuma ndio wanaopendwa na watawala.
Mimi Mzanaki Mzee
Vyama vya upizani Tanzania vinapambana na Dola hata hapo walipofika wanajitahidi.Akili ipi anayo Chama limemfia kabaki peke yake, wewe Familia ya watu wa5 wamekushinda kuongoza unata upewe mtaa? Una kichaa