Dah! Huyu Zitto akiwa rais wa Tz lazima tukae, ni kichwa sana

Zitto amekuwa lawyer lini? Una shida mkichwa
Zitto is just another useless lawyer with zero proven work ethic. It's only in Africa where smooth talking but useless lawyers make it in politics.

While China is making use of scientists, engineers etc in politics, we keep electing people who only talk and produce nothing!!!!

Magufuli achape kazi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto is just another useless lawyer with zero proven work ethic. It's only in Africa where smooth talking but useless lawyers make it in politics.

While China is making use of scientists, engineers etc in politics, we keep electing people who only talk and produce nothing!!!!

Magufuli achape kazi!!
Zito hajasomea sheria. Sio mwanasheria.
 
Ukiwa nje ya uwanja kila mtu ni intelligent na mjuaji, muingize uwanjani, kama unamuona Zito Kabwe ni intelligent basi nina wasi wasi na IQ yako, BTW sijaangalia huo ujinga.

Kama yule aliyetuambia wkt wa kampeni nchi hii ina mapesa mengi,ni donor country.

Amepewa madaraka sasa,hata pesa za kuajiri hana.
 
Ukiwa nje ya uwanja kila mtu ni intelligent na mjuaji, muingize uwanjani, kama unamuona Zito Kabwe ni intelligent basi nina wasi wasi na IQ yako, BTW sijaangalia huo ujinga.

Ndio maana nilisema itawapa tabu mkiitazama kwa milengo ya uchama au utaifa, kila mmoja kwenye comment yake ameghubikwa na uchama, hamna anayeitazama hiyo video hadi mwisho.
 
Mpeni miguna miguna nchi kwanza nyie manyang'au
Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.

Dah! Miguna huwa jamaa wa hasira hasira na visasi, itakua kama huko kwenu ambapo huwa mnasema hampangiwi. Kawaida nikimskliza Miguna huwa napenda sana alivyo mpambanaji, tena mwenye akili sana yaani sharp balaa sio mchezo, lakini uongozi wake utakua wa kukwaruzana.
Sema akiwa kiongozi nchi hii ufisadi utapungua pakubwa maana nahisi atawavuruga sana cartels wa mjini.
 
Unamjua vizuri Zitto au unamuona tu youtube?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Dah! Miguna huwa jamaa wa hasira hasira na visasi, itakua kama huko kwenu ambapo huwa mnasema hampangiwi. Kawaida nikimskliza Miguna huwa napenda sana alivyo mpambanaji, tena mwenye akili sana yaani sharp balaa sio mchezo, lakini uongozi wake utakua wa kukwaruzana.
Sema akiwa kiongozi nchi hii ufisadi utapungua pakubwa maana nahisi atawavuruga sana cartels wa mjini.
Miguna kama Tundu lissu hawana sifa za urais
Mkimpa nchi Miguna haitachukua mwezi kenya itasambaratika yote vipande vipande
 
Kuongea ni rahisi kuliko kutenda,
Muulize project ya Kigoma All Stars imefikia wapi?
Yeye ndio alikuwa mlezi wao.

Kama ameshindwa kuwaunganisha wasanii wasiozidi 10 ataweza kuwaunganisha watanzania 50M?
Kama ameshindwa mradi mdogo vile hututegemei ataweza mradi mkubwa wa kuendesha nchi.
 
Hivi dunia hii nani aliwahi kufaulu kuwaunganisha wasanii, ufahamu wasanii wengi huchukulia bifu zao kama mtaji, leo ukiwaweka Mondi na Kiba wakawa kimoja utakua umevuruga fan-base zao.
 
Kulijua hilo ulilosema wewe kabla ya kulivamia na kutangaza hadharani unajiingiza kwenye mradi kama huo, ndio sifa ya kuwa wewe kiongozi bora.
Kufanya tafiti kabla ya kukurupuka na kuvamia mradi utakao ishia kushindwa vibaya ni sifa ya uongozi bora.

Na ndicho kitu anachomkosoa mshindani wake kwamba kakurupuka kwenye miradi mikubwa.
Au anayo laumu yana apply kwa yeyote isipokuwa yeye tu?
 
Kulijua hilo ulilosema wewe kabla ya kulivamia na kutangaza hadharani unajiingiza kwenye mradi kama huo ni ndio sifa ya kuwa wewe kiongozi bora.
Kufanya tafiti kabla ya kukurupuka na kuvamia mradi utakao ishia kushindwa vibaya ni sifa ya uongozi bora.

Na ndicho kitu anachomkosa mshindani wake kwamba kakurupuka kwenye miradi mikubwa.
Au anayo laumu yana apply kwa yeyote isipokuwa yeye tu?

Mbona hiyo ni kawaida ya wanasiasa, kwani hukuskia ahadi za milioni hamsini kwa kila kijiji kwenu huko, mlitimiza? Jifunze kuchuja mchele na chuya. Usikalie sana maneno ya kila mwanasiasa, kwa mfano kwenye haya mahojiano ya Zitto, anaongea points kali kali, ana hoja nzuri sana ukimskliza bila kujighubika UCCM, lakini kuna wakati huwa anaongea pumba tupu, ndio zao wanasiasa.
 
Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.

Mkuu humjui. One of the most corrupt people unaowajua. Afrika tunefika hapa kwa Hizo Sweettalk. Mpime kwa historia yake na ubunge Wake. Kuongea kila mtu anaweza. We need viongozi watendaji.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.

Ccm hawampendi sana wanadai anawavurugia kwa mabeberu, tusio na vyama tunamuelewa sana
 
Wengi wanamchukia kwa ajili ya kauli kama hizi hapa.

Waah Huyu jamaa yuko very smart,
But Africa hii, hatuwezi ongozwa na smart people.
Dark continent
 
Back
Top Bottom