Zitto is just another useless lawyer with zero proven work ethic. It's only in Africa where smooth talking but useless lawyers make it in politics.
While China is making use of scientists, engineers etc in politics, we keep electing people who only talk and produce nothing!!!!
Magufuli achape kazi!!
Zito hajasomea sheria. Sio mwanasheria.Zitto is just another useless lawyer with zero proven work ethic. It's only in Africa where smooth talking but useless lawyers make it in politics.
While China is making use of scientists, engineers etc in politics, we keep electing people who only talk and produce nothing!!!!
Magufuli achape kazi!!
Ukiwa nje ya uwanja kila mtu ni intelligent na mjuaji, muingize uwanjani, kama unamuona Zito Kabwe ni intelligent basi nina wasi wasi na IQ yako, BTW sijaangalia huo ujinga.
Ukiwa nje ya uwanja kila mtu ni intelligent na mjuaji, muingize uwanjani, kama unamuona Zito Kabwe ni intelligent basi nina wasi wasi na IQ yako, BTW sijaangalia huo ujinga.
Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.

hebu mtaje nimjueKama yule aliyetuambia wkt wa kampeni nchi hii ina mapesa mengi,ni donor country.
Amepewa madaraka sasa,hata pesa za kuajiri hana.
Mpeni miguna miguna nchi kwanza nyie manyang'au
Unamjua vizuri Zitto au unamuona tu youtube?Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.
Miguna kama Tundu lissu hawana sifa za uraisDah! Miguna huwa jamaa wa hasira hasira na visasi, itakua kama huko kwenu ambapo huwa mnasema hampangiwi. Kawaida nikimskliza Miguna huwa napenda sana alivyo mpambanaji, tena mwenye akili sana yaani sharp balaa sio mchezo, lakini uongozi wake utakua wa kukwaruzana.
Sema akiwa kiongozi nchi hii ufisadi utapungua pakubwa maana nahisi atawavuruga sana cartels wa mjini.
Kuongea ni rahisi kuliko kutenda,
Muulize project ya Kigoma All Stars imefikia wapi?
Yeye ndio alikuwa mlezi wao.
Kama ameshindwa kuwaunganisha wasanii wasiozidi 10 ataweza kuwaunganisha watanzania 50M?
Kama ameshindwa mradi mdogo vile hututegemei ataweza mradi mkubwa wa kuendesha nchi.
Kulijua hilo ulilosema wewe kabla ya kulivamia na kutangaza hadharani unajiingiza kwenye mradi kama huo, ndio sifa ya kuwa wewe kiongozi bora.Hivi dunia hii nani aliwahi kufaulu kuwaunganisha wasanii, ufahamu wasanii wengi huchukulia bifu zao kama mtaji, leo ukiwaweka Mondi na Kiba wakawa kimoja utakua umevuruga fan-base zao.
Kulijua hilo ulilosema wewe kabla ya kulivamia na kutangaza hadharani unajiingiza kwenye mradi kama huo ni ndio sifa ya kuwa wewe kiongozi bora.
Kufanya tafiti kabla ya kukurupuka na kuvamia mradi utakao ishia kushindwa vibaya ni sifa ya uongozi bora.
Na ndicho kitu anachomkosa mshindani wake kwamba kakurupuka kwenye miradi mikubwa.
Au anayo laumu yana apply kwa yeyote isipokuwa yeye tu?
Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.
Ccm hawampendi sana wanadai anawavurugia kwa mabeberu, tusio na vyama tunamuelewa sanaNimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.