Dah! Huyu Zitto akiwa rais wa Tz lazima tukae, ni kichwa sana

Mwenye ile video, Zitto akisema SGR imeishia Moro tu aiweke.
 
Pumbavu sana huna unalojua Zitto kawa lini Wakili??? Zitto ni mchumi, waulize walumumba wenzako kabla hujawatia aibu mitandaoni
 
Kwani Dar imefika?

Ndio nawashangaa maana mlisema itaanza kutumika mwaka jana 2019, mpaka leo bado mnachimba chimba huku mkiongeza mikopo yenye riba kubwa kuzidi aliyokua tayari kuwapa Mchina ili ajenge reli yote kote, tatizo waswahili maneno maneno too much.
 
Kusema siyo utendaji. Watu wangi usema sana ukimpa awezi kitu
Nimetazama hii Youtbe video yote jamaa ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kichumi na mawazo mazuri, ukiitazama bila uchama au utaifa lazima utamkubali. Huwa napenda sana mijadala kama hii hata huku kwetu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…