Dah iko vipi hii

Joined
Apr 28, 2017
Posts
57
Reaction score
43
Kuna vitu vinachekesha sana unaangalia muvie ya Kiafrica either Nigeria ama Ghana au Tz kuna kisehemu wanaandika 35 years later afu unashangaa mbwa aliye kwenye geti la nyumba inayoonekana kwenye muvie yuko hai.
Hivi kweli kuna mbwa anaishi miaka 35???
Hapo nikiangalia muvie za Americans mseme mi si mzalendo????

Rodgence app
 
Zoea tu mkuu,hayo kawaida kwenye movie zetu...sio kama prison break hizo
 
Muvi ya Tz unakuta jamaa anajaribu kukumbuka ya kale.. flash back... wanasema 15 years back... alafu jamaa ameegemea kwenye post ya stand ya mwendo kasi... na daladala zinazopita ni costa...


cc: mahondaw
 
Hahahahaaa jaman kuna hii movie ya Jakie Chan huyu mwehu katika kungfu yoga alichokifanya n kufuru maana mm zile gar walizotumia mm hoi inaitwa kung fu yoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…