rodgence kagaba
Member
- Apr 28, 2017
- 57
- 43
Kuna vitu vinachekesha sana unaangalia muvie ya Kiafrica either Nigeria ama Ghana au Tz kuna kisehemu wanaandika 35 years later afu unashangaa mbwa aliye kwenye geti la nyumba inayoonekana kwenye muvie yuko hai.
Hivi kweli kuna mbwa anaishi miaka 35???
Hapo nikiangalia muvie za Americans mseme mi si mzalendo????
Rodgence app
Hivi kweli kuna mbwa anaishi miaka 35???
Hapo nikiangalia muvie za Americans mseme mi si mzalendo????
Rodgence app