cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila kweli bhana.[emoji23][emoji23][emoji23] wahaya Wana dharau na kibri,Kuna dada mmoja nimepanga naye aiseé anacheleweshaga Kodi hata mwezi cku mwenye nyumba akija kudai anatoka na hyo helaa alafu anamwambiaa mwenye nyumbaa ww badala ufate Kodi Yako unategemea mm ndio nikutafute , yaan niangaike Kutafuta Kodi na niangaike kukutafuta ww...