DAH : Imeleta ugomvi sana hii kitu nakusababisha wengine kuachika.

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,196
*Posho za Mwenge*

Mtumishi: baby

Mchepuko: yes baby wangu,nambie

Mtumishi: safi tu baby wangu...nikuombe kitu?

Mchepuko: bila shaka niombe tu bby si unajua sijawahi kukukatalia.

Mtumishi: bby ile milioni 1 nlokupa jana naomba nikuazime ntakupa tena siku ingine.??

Mchepuko: bby si umesema nkanunulie simu ingine nilipie lile gauni jekundu??

Mtumishi: ni kweli bby...lakini kwani we hujaskia tangazo la JPM??

Mchepuko: khaaa kwaiyo unamaanisha hii pesa ulonipa ilikuwa posho ya kwenda kwenye mwenge??

Mtumishi: ndio Baby[emoji18]

Mchepuko: hapa nina 4000 tu zingine nimetumia tayari labda nkupe hii?

Mtumishi: (kilio)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri,ukipata posho ya serikali kwa sasa usiitumie iweke kwanza mpaka upite mwezi mzima anything can happen!
Viva JPM
 
ha ha ha a ha ha ha ha ha WEWE ni MBUNIFU .........................Subiri nikurushie posho nawe ujinome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…