DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 403
- 386
Gemu limemuacha mbali sana. Ifike mahala akubali yaishe. Mbona kina Dulla Sol walishakubali na wametafuta shughuli nyingine za kufanyaSir Kiroboto. Ila siku hizi dizaini kama Juma kaishiwa Nature. Sio kama zamani enzi zile anapakua ugali.
-Kaveli-
Yes umeonaKuna kutu nime note kwenye nyimbo za Juma nature ni lazima aitaje Tanzania, iwe wimbo wa ku dansi, huzuni au wowote, jamaa ana ipenda nchi yake.
Mzalendo haswaaa jamaaKuna kutu nime note kwenye nyimbo za Juma nature ni lazima aitaje Tanzania, iwe wimbo wa ku dansi, huzuni au wowote, jamaa ana ipenda nchi yake.
Hapa ndipo utakapojua kwamba enzi zimeshampitaWabongo wanafiki sana hapa wanamsifia lakini akitangaza show yake hamna hata 1 anaenda