Dah jamaa hachuji tu bado yumo, safi sana Nature Kibla

Dah jamaa hachuji tu bado yumo, safi sana Nature Kibla

Sir Kiroboto. Ila siku hizi dizaini kama Juma kaishiwa Nature. Sio kama zamani enzi zile anapakua ugali.

-Kaveli-
Gemu limemuacha mbali sana. Ifike mahala akubali yaishe. Mbona kina Dulla Sol walishakubali na wametafuta shughuli nyingine za kufanya
 
Kila mtu na wakat wake.....wakt wake ulishapta.Awaachie kina Chibu
 
Ugali umesha chacha, jamaa enzi zake sisi tuliomshuhudia alitisha sana na aliongoza wote washuka mic, ila sasa upepo nikama umegeuka, hii ni kawaida lakini katika maisha
 
Kuimba bado anaimba sasa mnaodai kaishiwa sijui mnataka nini?
 
Big up juma kassim nature kiroboto. Wewe mkhaliiiiiiiiiiiii safi sana
 
Huyu mwamba sijui yuko wapi nimependa tu jinsi anavyoweza kukaa kimya bila ya kuwa kwenye Media
 
Wabongo wanafiki sana hapa wanamsifia lakini akitangaza show yake hamna hata 1 anaenda
 
ki ukweli jamaa kajitahid sio sawa na wakina feruz bado yupo vizur sio kama wakina timbulo
 
Atundike daluga tu....enzi zake wanaume family walipata nafasi wakaichezea....majuto ni mjukuu
 
Huyu betri imeisha chaji...Nature wa hili gemu,Inaniuma sana, wachuja nafaka ndo nilimkubali na nilinunua kanda zake kipindi kile siku hizi hana power hata shoo zake akitaka kuamsha hadhira/mashabiki lazima aweke nyimbo zake za zamani ndo anapata mwitikio kwa mashabiki
 
Kuna wasanii wanatakiwa wasitoe video wao wadeal tu na audio.
 
Nature alikuwa zamani,kwa sasa amebaki jina tu,anapendwa sana na wale ambao bado wanamkumbuka kwa kazi zake za zamani ndo bado wana mapenzi nae,lakini kwa sasa wakati umeshamuacha.
 
Back
Top Bottom