Dah! JF Bwana Kiboko!

Dah! JF Bwana Kiboko!

Status
Not open for further replies.

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
1,526
Reaction score
323
Mi nimeomba ushauri wa Kiteknolojia namna ya kutengeneza BOMU, thread imefutwa ghafla hii kweli kiboko. Tunataka kukuza vipaji vyetu Watanzania, badala ya kuagiza nje ya nchi tutengeneze wenyewe.

Hili ni jukwaa la Teknolojia hivyo mwenye kujua namna ya kutengeneza Bomu hasa kwa wale waliopitia fani hiyo wawaelimishe na wengine. Maendeleo huja kwa kuthamini cha nyumbani sio cha nje. Hivyo mwenye uelewa wa namna ya kutengeneza bomu aweke hapa si Mods kufuta thread tafadhali.
 
Hili ni jukwaa la Teknolojia hivyo mwenye kujua namna ya kutengeneza Bomu hasa kwa wale waliopitia fani hiyo wawaelimishe na wengine. Maendeleo huja kwa kuthamini cha nyumbani sio cha nje. Hivyo mwenye uelewa wa namna ya kutengeneza bomu aweke hapa si Mods kufuta thread tafadhali.[/QUOT

Utapigwa ban sasa hivi, hujui wale jamaa wamo humu 24 hrs?
 
Mi nimeomba ushauri wa Kiteknolojia namna ya kutengeneza BOMU, thread imefutwa ghafla hii kweli kiboko. Tunataka kukuza vipaji vyetu Watanzania, badala ya kuagiza nje ya nchi tutengeneze wenyewe.

Hili ni jukwaa la Teknolojia hivyo mwenye kujua namna ya kutengeneza Bomu hasa kwa wale waliopitia fani hiyo wawaelimishe na wengine. Maendeleo huja kwa kuthamini cha nyumbani sio cha nje. Hivyo mwenye uelewa wa namna ya kutengeneza bomu aweke hapa si Mods kufuta thread tafadhali.
Je mtu akikuomba mbinu za kuua watu utampa...... its safe kwa community forums kuzuiwa postings ambazo zinaweza tumiwa na vichaa kusababisha majanga... sababu hapa kuna different kinds of people, vichaa, watoto n.k. hizi info zipo online wewe just search
 
namuunga mkono wa ndima... at least basi angepewa links

to me, kuomba kwake hapa ni kitu kizuri zidi kwani ni rahisi kutrace kuliko anayejaribu bila consultations
 
Nakubaliana na wewe 100% Ndo maana nikasema hili ni jukwaa la teknolojia
 
Je mtu akikuomba mbinu za kuua watu utampa...... its safe kwa community forums kuzuiwa postings ambazo zinaweza tumiwa na vichaa kusababisha majanga... sababu hapa kuna different kinds of people, vichaa, watoto n.k. hizi info zipo online wewe just search

Nipeni link basi au mniPM kama vp
 
namuunga mkono wa ndima... at least basi angepewa links

to me, kuomba kwake hapa ni kitu kizuri zidi kwani ni rahisi kutrace kuliko anayejaribu bila consultations
The problem ni kwamba watu walianza ku-offer mpaka contacts za al-kaida, na al-shabab, am sure hata wewe hutaki hili Jamvi liusishwe na Terrorism..... Just imagine kama mtu atatoa details A to Z alafu chizi mmoja kesho anatumia hizo mbinu na kuua watu alafu anasema knowledge hii aliipata JF?
 
Kazi ya bomu ni nini? Kwa matatizo tuliyonayo sisi wabongo tukifundishwa ndio tumemaliza mchezo. Udom, Udsm , Ccm buildings etc flat. Acha tu unyimwe .LOH
 
The problem ni kwamba watu walianza ku-offer mpaka contacts za al-kaida, na al-shabab, am sure hata wewe hutaki hili Jamvi liusishwe na Terrorism..... Just imagine kama mtu atatoa details A to Z alafu chizi mmoja kesho anatumia hizo mbinu na kuua watu alafu anasema knowledge hii aliipata JF?

Ndo mana nikasema sitaki kwa ajili ya Al-Qaeda au Al- Shabab. Hata kwa PM ikiwezekana nahitaji!! Mbona tunakuwa waoga hivi?
 
Bomu la nini? Unatutisha mazee, tena bora hapo ingekuwa US ukiamka unakutana na FBI mlangoni.
 
naomba tu kwanza uende kwenye vituo vyovyote vya ulinzi na usalama,kama polisi au jeshi,watakupa maelekezo jinsi ya kutengeneza au wapi wanahusika na utengenezaji. ila kwanza inabidi upimwe saikolojia na wajue kwa nn wataka kujua na kutengeneza then utakua expert wao.
 
Nataka kutengeneza kisha nitawafahamisha hao kikosi cha ulinzi na usalama ila kwanza nitengeneze!!!
 
Mtazamaji hebu nirushie ile link maana wakati najiandaa ghafla wakaifuta thread ile
 
Pia Je unajua kwamba hii ni risky business unaweza ukajikuta wakati unatengeneza wewe na majirani zako wote mkabakia majivu???
 
Ndo maana nataka hatua za kutengeneza hadi kuwa na bomu kamili ili lisinidhuru. Na nitalitengenezea porini mbali na watu kabisa na majaribio nitafanyia huko kutazama ufanisi wake.
 
Ukifanikiwa nijulishe na mimi nahitaji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom