Mi nimeomba ushauri wa Kiteknolojia namna ya kutengeneza BOMU, thread imefutwa ghafla hii kweli kiboko. Tunataka kukuza vipaji vyetu Watanzania, badala ya kuagiza nje ya nchi tutengeneze wenyewe.
Hili ni jukwaa la Teknolojia hivyo mwenye kujua namna ya kutengeneza Bomu hasa kwa wale waliopitia fani hiyo wawaelimishe na wengine. Maendeleo huja kwa kuthamini cha nyumbani sio cha nje. Hivyo mwenye uelewa wa namna ya kutengeneza bomu aweke hapa si Mods kufuta thread tafadhali.[/QUOT
Utapigwa ban sasa hivi, hujui wale jamaa wamo humu 24 hrs?
Je mtu akikuomba mbinu za kuua watu utampa...... its safe kwa community forums kuzuiwa postings ambazo zinaweza tumiwa na vichaa kusababisha majanga... sababu hapa kuna different kinds of people, vichaa, watoto n.k. hizi info zipo online wewe just searchMi nimeomba ushauri wa Kiteknolojia namna ya kutengeneza BOMU, thread imefutwa ghafla hii kweli kiboko. Tunataka kukuza vipaji vyetu Watanzania, badala ya kuagiza nje ya nchi tutengeneze wenyewe.
Hili ni jukwaa la Teknolojia hivyo mwenye kujua namna ya kutengeneza Bomu hasa kwa wale waliopitia fani hiyo wawaelimishe na wengine. Maendeleo huja kwa kuthamini cha nyumbani sio cha nje. Hivyo mwenye uelewa wa namna ya kutengeneza bomu aweke hapa si Mods kufuta thread tafadhali.
namuunga mkono wa ndima... at least basi angepewa links
to me, kuomba kwake hapa ni kitu kizuri zidi kwani ni rahisi kutrace kuliko anayejaribu bila consultations
Je mtu akikuomba mbinu za kuua watu utampa...... its safe kwa community forums kuzuiwa postings ambazo zinaweza tumiwa na vichaa kusababisha majanga... sababu hapa kuna different kinds of people, vichaa, watoto n.k. hizi info zipo online wewe just search
The problem ni kwamba watu walianza ku-offer mpaka contacts za al-kaida, na al-shabab, am sure hata wewe hutaki hili Jamvi liusishwe na Terrorism..... Just imagine kama mtu atatoa details A to Z alafu chizi mmoja kesho anatumia hizo mbinu na kuua watu alafu anasema knowledge hii aliipata JF?namuunga mkono wa ndima... at least basi angepewa links
to me, kuomba kwake hapa ni kitu kizuri zidi kwani ni rahisi kutrace kuliko anayejaribu bila consultations
The problem ni kwamba watu walianza ku-offer mpaka contacts za al-kaida, na al-shabab, am sure hata wewe hutaki hili Jamvi liusishwe na Terrorism..... Just imagine kama mtu atatoa details A to Z alafu chizi mmoja kesho anatumia hizo mbinu na kuua watu alafu anasema knowledge hii aliipata JF?
naomba tu kwanza uende kwenye vituo vyovyote vya ulinzi na usalama,kama polisi au jeshi,watakupa maelekezo jinsi ya kutengeneza au wapi wanahusika na utengenezaji. ila kwanza inabidi upimwe saikolojia na wajue kwa nn wataka kujua na kutengeneza then utakua expert wao.
Pia Je unajua kwamba hii ni risky business unaweza ukajikuta wakati unatengeneza wewe na majirani zako wote mkabakia majivu???
Ndo maana nataka hatua za kutengeneza hadi kuwa na bomu kamili ili lisinidhuru. Na nitalitengenezea porini mbali na watu kabisa na majaribio nitafanyia huko kutazama ufanisi wake.