TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
nimekusoma mkuuThe problem ni kwamba watu walianza ku-offer mpaka contacts za al-kaida, na al-shabab, am sure hata wewe hutaki hili Jamvi liusishwe na Terrorism..... Just imagine kama mtu atatoa details A to Z alafu chizi mmoja kesho anatumia hizo mbinu na kuua watu alafu anasema knowledge hii aliipata JF?
thank you very much