[h=6]Ungekuwa wewe ungefanyeje? Kutokana na ukware wako unamuaga mkeo kuwa hutarudi nyumbani mana umetingwa na kazi ofisini kumbe sio. Jioni inafika unaendagesti na kukodi chumba, kisha unamuagiza mhudumu akutafutie mwanamke wa kulala naye. Mhudumu anaenda kukutafutia mwanamke ila kwa bahati mbaya wakati anamleta kwako umeme unakatika, mwanamke anaingia chumbani kwako na ghafla umeme unarudi na kumuangalia unagundua kuwa ni mke wako! Ungefanyaje kama ungekuwa ww?[/h]
Pangechimbika,ningemwambia kwamba ni siku nyingi nackia unajiuza nilitaka nithibitishe kama ni kweli,baada ya hapo namwambia cku nyingine awe ananiaga kuwa anaenda kujiuza,ntafanya hivyo ili kumzuga kwani na mimi ntakuwa nimefanya kosa la ku-mcheatUngekuwa wewe ungefanyeje? Kutokana na ukware wako unamuaga mkeo kuwa hutarudi nyumbani mana umetingwa na kazi ofisini kumbe sio. Jioni inafika unaendagesti na kukodi chumba, kisha unamuagiza mhudumu akutafutie mwanamke wa kulala naye. Mhudumu anaenda kukutafutia mwanamke ila kwa bahati mbaya wakati anamleta kwako umeme unakatika, mwanamke anaingia chumbani kwako na ghafla umeme unarudi na kumuangalia unagundua kuwa ni mke wako! Ungefanyaje kama ungekuwa ww?