Dah! Kanisa litammiss Askofu Gwajima katika doctrine ya wokovu

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,777
Reaction score
2,040
Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye.

Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba yao.

Gwajima kalifundisha kanisa la Tanzania juu ya misingi ya wokovu bila kupindisha kona. Ikumbukwe kipindi cha corona hapa Tz alitoa miongozo 12 ya kibbilia yakufuata ili usipatwe na corona.

Zilikuwa ni facts tupu na wengi tulitumia zikaaply. Gwajima anajua bana concept ya wokovu,akifundisha lazima upate kitu kipya kabisa.

Sawa baba nenda huko ulikowiwa kwenda ila usitusahau angalau mara moja kwa mwezi sisi wa mbali na dar huwa tunakupata kupitia online TV yako(rudisha TV).

Chamsingi ni kuona falme za dunia zimegeuka kuwa falme za mwanakondoo yaan Kristo Yesu
 
Hichi "KIJIWE NONGWA" humu JamiiForums kinanikumbusha ule wimbo wa ROSTAM. . . . . . . . . . .

STAMINA:- Alikuja kama "MASII", tukamchangia "SADAKA", tukamuona "NABII" alieshushwa siku ya "PASAKA", tukamtolea na "ZAKA" ili kanisa "LIJENGWE".

ROMA:- Enh Enh na bado akamlaza muumini "KIFO CHA MENDE".
 
ukiachana na ujinga mwingine ila kiukweli Gwajima anajua kuhubiri mpaka mtu unaelewa kabisa, Gwajima ni mwalimu mzuri ametunukiwa na Mungu hiyo karama,
huu ni ukweli upinge usipinge
 
Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye.

Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba yao.

Gwajima kalifundisha kanisa la Tanzania juu ya misingi ya wokovu bila kupindisha kona.

Ikumbukwe kipindi cha corona hapa Tz alitoa miongozo 12 ya kibbilia yakufuata ili usipatwe na corona.

Zilikuwa ni facts tupu na wengi tulitumia zikaaply.

Gwajima anajua bana concept ya wokovu,akifundisha lazima upate kitu kipya kabisa.

Sawa baba nenda huko ulikowiwa kwenda ila usitusahau angalau mara moja kwa mwezi sisi wa mbali na dar huwa tunakupata kupitia online TV yako(rudisha TV).

Chamsingi ni kuona falme za dunia zimegeuka kuwa falme za mwanakondoo yaan Kristo Yesu
Uko kwenye kampeni
 
Gwajima mjasiriamali
FB_IMG_1600870322971.jpg
 
Kanisa litammiss kwani anaenda wapi?? Anahamia jimbo la BIRMINGHAM?? 😀

Everyday is Saturday...............................😎
 
Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye.

Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba yao.

Gwajima kalifundisha kanisa la Tanzania juu ya misingi ya wokovu bila kupindisha kona.

Ikumbukwe kipindi cha corona hapa Tz alitoa miongozo 12 ya kibbilia yakufuata ili usipatwe na corona.

Zilikuwa ni facts tupu na wengi tulitumia zikaaply.

Gwajima anajua bana concept ya wokovu,akifundisha lazima upate kitu kipya kabisa.

Sawa baba nenda huko ulikowiwa kwenda ila usitusahau angalau mara moja kwa mwezi sisi wa mbali na dar huwa tunakupata kupitia online TV yako(rudisha TV).

Chamsingi ni kuona falme za dunia zimegeuka kuwa falme za mwanakondoo yaan Kristo Yesu

Yani doctrine ya wokovu? Ambayo yeye hana? Kweli tumelogwa, the only purpose of doctrine ya wokovu is ushindi wa dhambi, na dhambi kashindwa kuacha, sasa doctrine ya wokovu imemsaidia nini?
 
Mimi nawaza tuu iwapo huduma yake ilitoka kwa Mungu au kwa wanadamu maana Mara kibao amedanganya madhabahuni,sijui amejenga arena,sijui ana Japanese books Amazon, wiki ijayo ananunua treni,

Jana ametuambia kuwa kwamba makonda ni bashite alikuwa anadanganya tuu!

Jana ametukumbusha kuwa aliwahi kumtukana mpumbavu Muhashamu Baba Askofu Kadinali Pengo.

Na bado alimla kondoo kifo Cha Mende,

Sijui uchungaji wake ulikuwa kuwaje
 
Ni msanii tu kama wasanii wengine Ila yeye kawazidi kidogo kwani anatumia kanisa kuwahadaa. Hivyo hao wa kanisani atawapeleka mbinguni na hao wa Kawe atawapeleka USA wakamwone Trump!
 
Back
Top Bottom