Dah kumbe kuna watu wanalipwa ili watanzania tufe?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
"Wanalipwa fedha kwa kuwatumikisha Vijana wa Kitanzania, wao ndio wanatajirika, wanatajirikia damu za watoto wa Kitanzania. Imetokea ile mwaka jana wametawanywa kwenye baadhi ya Nchi, mtu mmoja analipwa Bilioni tano ili awachochee vijana wa Kitanzania na anaambiwa wakifa wengi atalipwa zaidi. Wanafanyia biashara maisha ya Watanzania? Na mnataka tuwachekee?"

"Tuliwakamata baadhi yao wakiwa wamehifadhiwa mahali na mmoja wao amesema ili aweze kuhamasisha vijana waende kufa yeye alikuwa analipwa Milioni tano kila mwezi. Wewe unapewa tu chupa ya petroli unaambiea nenda kauane kule mwenzako analipwa, unaambiwa nenda kachome kule ili mwenzako alipwe, unaambiwa kachome biashara ya mwenzako yeye analipwa, wewe unaenda kuumiza nchi yako na ndugu zako yeye analipwa kwa wewe kupoteza maisha yako, haya lazima tuamke na kila mmoja ayakatae.

"Hivi majuzi tukawasikia wanasema sema, tukasema hatutapuuza jambo lolote, tumefuatilia tumewakamata wa kutosha. Mmoja alikuwa anasema analipwa Milioni tatu kila mwezi na kwamba ameahidiwa Milioni 100 kama atapeleka vijana wakafe."

"Mwingine mkoa mmoja kule Kusini alikuwa anaeatengenezea vibomu vya asili analipwa Milioni tano, ameambiwa akipeleka vijana wakafe yeye atalipwa Milioni 500. Ninyi mnaunganaje na watu wanaotuwazia mabaya? Kataeni, kila kijana akatae, usifanyiwe biashara maisha yako."

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza kwenye mkutano wa hadhara leo Jumatano Julai Mosi, 2026 kwenye Viwanja vya Sokoine, Mugumu, Wilayani Serengeti Mkoani Mara.
 
Hii imekaa kipropaganda zaidi, kimsingi wananchi wana madai yao ya msingi ndio maana wanaandamana. Hayo ya kuuana ni matokeo tu ya kuzuia maandamano. Siungi mkono vitendo vya kihalifu, watu waachwe waandamane na wapewe ulinzi
 
"Wanalipwa fedha kwa kuwatumikisha Vijana wa Kitanzania, wao ndio wanatajirika, wanatajirikia damu za watoto wa Kitanzania. Imetokea ile mwaka jana wametawanywa kwenye baadhi ya Nchi, mtu mmoja analipwa Bilioni tano ili awachochee vijana wa Kitanzania na anaambiwa wakifa wengi atalipwa zaidi. Wanafanyia biashara maisha ya Watanzania? Na mnataka tuwachekee?"

"Tuliwakamata baadhi yao wakiwa wamehifadhiwa mahali na mmoja wao amesema ili aweze kuhamasisha vijana waende kufa yeye alikuwa analipwa Milioni tano kila mwezi. Wewe unapewa tu chupa ya petroli unaambiea nenda kauane kule mwenzako analipwa, unaambiwa nenda kachome kule ili mwenzako alipwe, unaambiwa kachome biashara ya mwenzako yeye analipwa, wewe unaenda kuumiza nchi yako na ndugu zako yeye analipwa kwa wewe kupoteza maisha yako, haya lazima tuamke na kila mmoja ayakatae.

"Hivi majuzi tukawasikia wanasema sema, tukasema hatutapuuza jambo lolote, tumefuatilia tumewakamata wa kutosha. Mmoja alikuwa anasema analipwa Milioni tatu kila mwezi na kwamba ameahidiwa Milioni 100 kama atapeleka vijana wakafe."

"Mwingine mkoa mmoja kule Kusini alikuwa anaeatengenezea vibomu vya asili analipwa Milioni tano, ameambiwa akipeleka vijana wakafe yeye atalipwa Milioni 500. Ninyi mnaunganaje na watu wanaotuwazia mabaya? Kataeni, kila kijana akatae, usifanyiwe biashara maisha yako."

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza kwenye mkutano wa hadhara leo Jumatano Julai Mosi, 2026 kwenye Viwanja vya Sokoine, Mugumu, Wilayani Serengeti Mkoani Mara.
Mkuu nje ya mada. Ukiondoa kutapika je mtu anaweza kuondoa nyongo kwa KUNYA?
 
Nilipwe na mimi nikadanje!
 
Ushahidi Uko Wapi Wa Malipo Wa Hizo Fedha..??Na Majina Ya Hao Watu..??
Alafu Pia Punguza Kusuta Mtoto Wa Kiume,,Mbaya...!!
​
 
Kuna watu bado ni wajinga sana! Mmoja wapo ni wewe! Jinga kabisa
"Wanalipwa fedha kwa kuwatumikisha Vijana wa Kitanzania, wao ndio wanatajirika, wanatajirikia damu za watoto wa Kitanzania. Imetokea ile mwaka jana wametawanywa kwenye baadhi ya Nchi, mtu mmoja analipwa Bilioni tano ili awachochee vijana wa Kitanzania na anaambiwa wakifa wengi atalipwa zaidi. Wanafanyia biashara maisha ya Watanzania? Na mnataka tuwachekee?"

"Tuliwakamata baadhi yao wakiwa wamehifadhiwa mahali na mmoja wao amesema ili aweze kuhamasisha vijana waende kufa yeye alikuwa analipwa Milioni tano kila mwezi. Wewe unapewa tu chupa ya petroli unaambiea nenda kauane kule mwenzako analipwa, unaambiwa nenda kachome kule ili mwenzako alipwe, unaambiwa kachome biashara ya mwenzako yeye analipwa, wewe unaenda kuumiza nchi yako na ndugu zako yeye analipwa kwa wewe kupoteza maisha yako, haya lazima tuamke na kila mmoja ayakatae.

"Hivi majuzi tukawasikia wanasema sema, tukasema hatutapuuza jambo lolote, tumefuatilia tumewakamata wa kutosha. Mmoja alikuwa anasema analipwa Milioni tatu kila mwezi na kwamba ameahidiwa Milioni 100 kama atapeleka vijana wakafe."

"Mwingine mkoa mmoja kule Kusini alikuwa anaeatengenezea vibomu vya asili analipwa Milioni tano, ameambiwa akipeleka vijana wakafe yeye atalipwa Milioni 500. Ninyi mnaunganaje na watu wanaotuwazia mabaya? Kataeni, kila kijana akatae, usifanyiwe biashara maisha yako."

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza kwenye mkutano wa hadhara leo Jumatano Julai Mosi, 2026 kwenye Viwanja vya Sokoine, Mugumu, Wilayani Serengeti Mkoani Mara.
a
 
Back
Top Bottom