dah, kumbe udsm ni noooooooooma!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!

acha kelele cku 2 tu! ushaanza matangazo!hujui km sem5 kuna mzik mnene!
acha kimbelefront dogo.
 
Za kishua wapi?huyu jamaa wa matombo,anachotaka ni kujionyesha naye yupo ud,haya tumeshajua,ajipange aache kelele ka mtoto wa kike
watu walotoka shule za kishua utawajua tu
 
hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel:
kwa mtindo huu hata kama upo chuo nna wasi wasi sana na elimu yako!! yani hujui kuandika?? afu uko chuo...yale ya ya watoto wa primary walioingia form one na kuandika hawajui kumbe mpaka chuoni wapo?? kajipange kijana!!
 
mwacheni ni first year b
ado hajazoea
 
dogo una kiherehere sana kama mke wa balozi...una mtangazia nani ambae hajui kupiga msuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…