Arnold Ndosi
Member
- Aug 14, 2012
- 65
- 3
hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel:
watu walotoka shule za kishua utawajua tu
kwani uliambiwa unakwenda holiday?Komaa tu mkuu si umeamua kusoma!
kwa mtindo huu hata kama upo chuo nna wasi wasi sana na elimu yako!! yani hujui kuandika?? afu uko chuo...yale ya ya watoto wa primary walioingia form one na kuandika hawajui kumbe mpaka chuoni wapo?? kajipange kijana!!hapa kuna msuli ni nooooma! asaiment, kozwek na semina ni mchakamchaka.:israel: