Dah! Kuna kila dalili huyu binti wa kitanga kashaniloga

Tanga bwana teh teh teh kwetu kule ndio mwisho Wa matatizo, ushatiwa zongo wewe
 
Ni miaka mitatu toka niache haya mambo ya kua kwenye serious relationship(whatever that means) na mtu, hii ni baada ya kuja kijamaa chenye pesa na kumchukua mwanamke niliyodumu nae kwa miaka miwili,mwanamke ambaye nilihisi sitokaa kuja kumsahau, just like that, she got saved up by some dude,got married, had kids, got thick...(at least like a soccer mom).. Eway let's save that for some other time

Nikaingia rasmi kwenye chama la ma bachelor, kwa kweli hili chama nakatokea kulipenda sana na nikaapa sitakuja kulisaliti mapema, nikapokelewa rasmi na Mshkaj wangu kwenye hili chama, showed me a trick or two, maisha yanasonga

Maisha ya u bachelor raha sana, come friday night, there is nothing more than having a good shave(yeah I mean on em private parts) and go out hunting!!! Huyu Mshkaj wangu aliniyenikaribisha kwenye chama akanambia Sheria la chama ni kua ukienda mawindoni lazima urudi na nyama, man gotta eat right?? Haya ndo yakawa maisha, full kukichafua, si instragram, si viwanja, si wapi, any place u can get a nice piece of ass!! Nimeenjoy sana haya maisha until kama miezi miwili iliyopita

Huyu mtoto wa tanga, anafanya kazi kwenye supermarket moja karibu na nlipohamia, nikawa nikitoka kutafuta mkate wa kila siku napitia hapo supermarket and get some supplies, tukazoena baada ya muda( maybe because of the tips?) Well whatever!!! Tukabadilishana namba, haichukua muda she was already inside my trap, akaanza kuja kulala kwangu weekends tu(anaishi na Dada yake ambaye kila weekend anaenda Moro kwa mchumba wake) so ndo anaweza kutoroka and the sort

Tatizo ni kwamba ex wangu alikua the typo with extremely good looks rating kama ya (9/10), huyu mtoto wa tanga ni wa kawaida tu let's say (6.5/10), nilipoanza kua nae I was all in for sex tu na wala si kingine, sikua na feelings nae kivile hata, balaa likaanza hapa, her sex game is A+, been fooling around with all types of chicks but huyu mtoto bana,her sex game is A+(mind you I've never rated anyone that much before)

Ikawa weekend mi sitoki wala nini, just In with her, no more hunting games, mpaka Mshkaj wangu akawa ananishangaa, nikawa sio mtu wa kutoka tena, ila nikawa naona poa tu, after a long hauling week na hii kasi ya maguboy, who wouldnt settle in for some good sex?

Plan yangu ya kupiga na kusepa ikawa inaharibika kila siku zinavyozidi kwenda, she is a cool lady, keeps her head down and the sort, and yeah she run all the home errands(cooking,cleaning and the sort, ma ex sucked at this)

Kilichonifanya nilete huu Uzi ni kwamba weekend hii ameenda kwao tanga, and am like, yay, back to the hunting game... Nampigia mshkaj namwambia am back chamani, today we hunting vile haijawahi tokea, mida ya jioni natoka mishe huyu mtoto ananipigia simu kaniomba sana nisimsaliti, ghafla mawazo yote ya kutoka yakapotea, jamaa nikampigia nikampa visababu vya kuunga unga, alafu huyu mtoto akanambia kua simu yake haina chaj blah blah+some electric problems huko kwao, analala mapema eti, kanitext na goodnight tiari, wakuu for the first time napata wivu yani, napata mawazo anaweza kua na mtu mwingine, funny thing is am feeling this for someone i never gave two shits about

Hii hapo last text aliyonitumia
View attachment 499246

Seriously this girl has thrown a monkey wrench into my plan, I was supposed to be hunting, yet here I am f*ck!ng with the internet and drinking alone on a ****!ng Friday night!

View attachment 499247

Kweli mapenzi hayana formula, i have entirely shaped my attention kwa hawa average ladies!!!

Aisee samahanini kwa mwandiko mbaya, or even better, you can blame it on the alcohol!!!
Aiseeh huu uandishi sio wa nchi hii, nimejikuta nasoma kama naangalia movie, ila mbali ya yote nikupe hongera kwa kutulizwa na mtoto wa kitanga
 
A sweet woman is hard to find brother. When you find a woman who is sweet or any version of it put a ring on it.
Man it have only been a month or so?? Marrying thoughts are off the hook!!

At least for now!
 
Sasa mkuu mbona wazidi nitisha
Usitishike,anza kumfatilia umjue kwa undani zaidi na zaidi ma binti Wa kule nyumbani wakitaka kitu hawashindwi, yaani hashindwi kukusinga ukasingika ukasahau hata kesho yako ....akiwa mwema kwako ni bora zaidi
 
Ntafanyia kazi ushauri wako, asante dada
 
Man it have only been a month or so?? Marrying thoughts are off the hook!!

At least for now!
I have studied your mode of thought you are more attracted to good looking ladies. And ain't no bad thing about that. But again do you have what it takes to win heart of a good looking lady? Are you a rich guy?

Sometimes you have to accept things as they are and go with the flow. The lady seems to love you. Treat her with care and respect.
 
Mkiambiwa mapenzi yamezaliwa tanga mnaanza Ooh mbona wasukuma pia wanajua kukata mauno,nawaangaliaga tu,nikumegee siri huku tanga mapenzi yanarithishwa kama watu wengine wanavyorithishana ulevi wa mbege,niko na shemeji yako hapa kasinzia jinsi alivyo mcute naogopa hata kuona mbu anamgusa,wallah tanga imejaaliwa vimwana Jamni
 
Ni miaka mitatu toka niache haya mambo ya kua kwenye serious relationship(whatever that means) na mtu, hii ni baada ya kuja kijamaa chenye pesa na kumchukua mwanamke niliyodumu nae kwa miaka miwili,mwanamke ambaye nilihisi sitokaa kuja kumsahau, just like that, she got saved up by some dude,got married, had kids, got thick...(at least like a soccer mom).. Eway let's save that for some other time

Nikaingia rasmi kwenye chama la ma bachelor, kwa kweli hili chama nakatokea kulipenda sana na nikaapa sitakuja kulisaliti mapema, nikapokelewa rasmi na Mshkaj wangu kwenye hili chama, showed me a trick or two, maisha yanasonga

Maisha ya u bachelor raha sana, come friday night, there is nothing more than having a good shave(yeah I mean on em private parts) and go out hunting!!! Huyu Mshkaj wangu aliniyenikaribisha kwenye chama akanambia Sheria la chama ni kua ukienda mawindoni lazima urudi na nyama, man gotta eat right?? Haya ndo yakawa maisha, full kukichafua, si instragram, si viwanja, si wapi, any place u can get a nice piece of ass!! Nimeenjoy sana haya maisha until kama miezi miwili iliyopita

Huyu mtoto wa tanga, anafanya kazi kwenye supermarket moja karibu na nlipohamia, nikawa nikitoka kutafuta mkate wa kila siku napitia hapo supermarket and get some supplies, tukazoena baada ya muda( maybe because of the tips?) Well whatever!!! Tukabadilishana namba, haichukua muda she was already inside my trap, akaanza kuja kulala kwangu weekends tu(anaishi na Dada yake ambaye kila weekend anaenda Moro kwa mchumba wake) so ndo anaweza kutoroka and the sort

Tatizo ni kwamba ex wangu alikua the typo with extremely good looks rating kama ya (9/10), huyu mtoto wa tanga ni wa kawaida tu let's say (6.5/10), nilipoanza kua nae I was all in for sex tu na wala si kingine, sikua na feelings nae kivile hata, balaa likaanza hapa, her sex game is A+, been fooling around with all types of chicks but huyu mtoto bana,her sex game is A+(mind you I've never rated anyone that much before)

Ikawa weekend mi sitoki wala nini, just In with her, no more hunting games, mpaka Mshkaj wangu akawa ananishangaa, nikawa sio mtu wa kutoka tena, ila nikawa naona poa tu, after a long hauling week na hii kasi ya maguboy, who wouldnt settle in for some good sex?

Plan yangu ya kupiga na kusepa ikawa inaharibika kila siku zinavyozidi kwenda, she is a cool lady, keeps her head down and the sort, and yeah she run all the home errands(cooking,cleaning and the sort, ma ex sucked at this)

Kilichonifanya nilete huu Uzi ni kwamba weekend hii ameenda kwao tanga, and am like, yay, back to the hunting game... Nampigia mshkaj namwambia am back chamani, today we hunting vile haijawahi tokea, mida ya jioni natoka mishe huyu mtoto ananipigia simu kaniomba sana nisimsaliti, ghafla mawazo yote ya kutoka yakapotea, jamaa nikampigia nikampa visababu vya kuunga unga, alafu huyu mtoto akanambia kua simu yake haina chaj blah blah+some electric problems huko kwao, analala mapema eti, kanitext na goodnight tiari, wakuu for the first time napata wivu yani, napata mawazo anaweza kua na mtu mwingine, funny thing is am feeling this for someone i never gave two shits about

Hii hapo last text aliyonitumia
View attachment 499246

Seriously this girl has thrown a monkey wrench into my plan, I was supposed to be hunting, yet here I am f*ck!ng with the internet and drinking alone on a ****!ng Friday night!

View attachment 499247

Kweli mapenzi hayana formula, i have entirely shaped my attention kwa hawa average ladies!!!

Aisee samahanini kwa mwandiko mbaya, or even better, you can blame it on the alcohol!!!
Daaah mkuu watoto wa kitanga ni noma aisee wako vizur kwenye hizo mambo bana, juzi juzi me nilikuwa natoka moro baña nikaa siti moja ña mtoto wakitanga baña, kama kawaida sikuchelewa kuchukua namba aisee, ña akanipa promisi ya kuja Home aisee, ameshanipa gem Mara moja aisee daah nilichanganyikiwa aisee maana sijawahi pata vile vitu aisee, ivi namvutia kasi tuu, ikiwezekana nipeleke ña mahari kabisa yaani, shikamoo watoto wa kitanga mnajua mapenzi kwakweli
 
Mkiambiwa mapenzi yamezaliwa tanga mnaanza Ooh mbona wasukuma pia wanajua kukata mauno,nawaangaliaga tu,nikumegee siri huku tanga mapenzi yanarithishwa kama watu wengine wanavyorithishana ulevi wa mbege,niko na shemeji yako hapa kasinzia jinsi alivyo mcute naogopa hata kuona mbu anamgusa,wallah tanga imejaaliwa vimwana Jamni
Nishawahi kua na mtoto mwingine wa tanga, dah, worst sex I ever had yaniii, nikasema huyu si wa tanga, let me give her some 'benefit of doubt' nikapanga siku nyingine, mechi mbovu tu

Mind you, ni native kabisa wa tanga, si hawa ambao wanazaliwa tanga wakakulia masaki, kwa io kuna watanga ambao hawajui a wala b katika mapenzi
 
Daaah mkuu watoto wa kitanga ni noma aisee wako vizur kwenye hizo mambo bana, juzi juzi me nilikuwa natoka moro baña nikaa siti moja ña mtoto wakitanga baña, kama kawaida sikuchelewa kuchukua namba aisee, ña akanipa promisi ya kuja Home aisee, ameshanipa gem Mara moja aisee daah nilichanganyikiwa aisee maana sijawahi pata vile vitu aisee, ivi namvutia kasi tuu, ikiwezekana nipeleke ña mahari kabisa yaani, shikamoo watoto wa kitanga mnajua mapenzi kwakweli
Haha mkuu umepewa Mara moja tu unataka kupeleka mahari, you seem to be a better man than me
 
Back
Top Bottom