Dah kutoka kuwa na furaha hadi hofu

Una tatizo la akili
You fall in love because of voice only?
 
Ubaya kwamba condom sikuitambua
Kwa kujua kwamba ladha ya mapenzi itapungua
Kumbe nilikuwa ninapotea njia
Niliyoshauriwa mimi niliyapuuzia

Idadi ya wanawake ikawa lukuki
Ikafika kipindi wengine nikawa siwakumbuki
Ona, ona, aah
Ona sasa yaliyonisibu kwa dada yake Bashiri
Nilishamsahau kama tulishakutana kimwili
Nilivyomuona, nikamtongoza tena
Tena kwa mara ya pili
Ona sasa, aah aah
 
Komaaa
 
Una upungufu wa akili.
 
Binadamu tunatabia ya kujiondolea anxieties.

“Sikupata michubuko”

Kitendo cha kutokutumia protection ni risk ya Maisha yako assume hana ugonjwa, akibeba mimba utampenda mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…