Dah kutoka kuwa na furaha hadi hofu

Ushapata chlamidyia au trichomoniasis..soon utaanza kupata penile discharge( maji maji kwenye njia ya mkojo)
 
Tayriii huku.
 
Vijana kuweni makini acheni ngono zembe utakuja juta furaha ya dakika chache inagharimu maisha yako yote nyege mshindo mbaya sana acheni iyo mara moja
 
Kuna bwana mmoja aliwahi kusema "aziniye na mwanamke, hana akili"
 
Badala uende ukapime naye wewe unamuuliza mshikaji kama huyo mwanamke hana magonjwa. The common sense is not common.
 
Lust will kill you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…