Dah! kwahiyo wadau Mzee Yusuph ndo basi tena na taarab yake!

Dah! kwahiyo wadau Mzee Yusuph ndo basi tena na taarab yake!

Hivi hyo hela ya kula mnayoizungumza amekosa mzee Yusuph ni ipi mbona ana kampuni yake ya kufyatua matofali kule chanika kwa hela ya kula tu itakuwa anapata labda ya matumizi mengine.
 
Alipata vijimilioni vyake mia kadhaa akaona hazitaisha hadi kufa kwake. Baada ya miaka miwili mitatu hela zikaisha na njaa ikamnyemelea. AKASEMA KULIKO KUFA HAPA KWA NJAA NI BORA NIRUDI "MSITUNI"
Alihojiwa huku michozi ikimtoka akadai alitegemea watu watampa tafu alipoacha mziki lakini akaishia kula vitumbua kutwa nzima akibadili ni mihogo ya kukaanga coco beach na kipande cha ngisi akaona hii sasa balaaaa
 
Taarab ilikufaga kitambo siku hizi haisikiki kabisa kitaa
 
Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani.

Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?

Hana maamuzi kabisa. Ndio kilichomwangusha.
 
Hivi hyo hela ya kula mnayoizungumza amekosa mzee Yusuph ni ipi mbona ana kampuni yake ya kufyatua matofali kule chanika kwa hela ya kula tu itakuwa anapata labda ya matumizi mengine.

Tafuta Interview wakati analia Maisha magumu. Umsikilize kwa making.
 
Alipata pesa kidogo akaacha muziki wakati kanuni ni kule ulikopatia pesa endeleza hukohuko kwa ubunifu zaidi, mfano ulikua na kiduka mtaani fanya hadi uwe na duka la jumlajumla au min market kubwa au mall kabisa
 
Back
Top Bottom