dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Alihojiwa huku michozi ikimtoka akadai alitegemea watu watampa tafu alipoacha mziki lakini akaishia kula vitumbua kutwa nzima akibadili ni mihogo ya kukaanga coco beach na kipande cha ngisi akaona hii sasa balaaaaAlipata vijimilioni vyake mia kadhaa akaona hazitaisha hadi kufa kwake. Baada ya miaka miwili mitatu hela zikaisha na njaa ikamnyemelea. AKASEMA KULIKO KUFA HAPA KWA NJAA NI BORA NIRUDI "MSITUNI"
endeleeni tu siku hizi kwa umbeya mumewazidi hata hao wanawakeYani wanaume wazima tukae hapa kujadili taarabu? Hebu tuheshimiane kidogo.
[emoji3][emoji3] chezea njaa wewe, na mkewe yule mwimbaji yeye anaendelea kuimba?kuna bar umiza pale Chanika Mwisho, namuonaga
kiingilio ulabu
Kama hujui siku hizi wanaume mnaongoza kwakupika majungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wanaume wazima tukae hapa kujadili taarabu? Hebu tuheshimiane kidogo.
Hasikiki kabisa huku mtaani, japo nilimuona katika TV kama mwezi au miezi miwili hivi iliyopita akihojiwa. Licha ya kulirejesha jina la zamani la Jahazi (maana alirudi na Safina) katika bendi bado mirindimo haisikiki kabisa huku mtaani.
Nini hiki jamani ili wengine wajifunze?
Hivi hyo hela ya kula mnayoizungumza amekosa mzee Yusuph ni ipi mbona ana kampuni yake ya kufyatua matofali kule chanika kwa hela ya kula tu itakuwa anapata labda ya matumizi mengine.