Dah! Kweli Mbeya mmetisha sana

Dah! Kweli Mbeya mmetisha sana

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Kweli wahenga walikua sahihi waliposema tembea ili uone mengi, yahani mimi na ukubwa wangu huu nilikua sijui Kama uji ni juice ya mahindi mpaka nilipofika MBEYA.

Kweli wanyakyusa mmetisha sana kumbe uji ni juice.
 
Unazungumzia togwa au uji?
Tununu fijo
 
Uzuri wake wanyakyusa hatucheki na wowote!
 
Back
Top Bottom