vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Mechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu.
Japo jezi hajichezi ila bahati kwenye mpira upo. Unaweza kucheza vizuri mno na ukakosa matokeo kwasababu bahati haipo upande wako. Na unaweza kucheza hovyo mpira wa hovyo ila ukapata matokeo kwavile bahati ipo upande wako.
Yanga tokea ivae jezi nyeusi haikuwahi kupoteza mchezo wowote ule, itapata goli hata la kujifunga au la uzembe uliopitiliza. Hiyo ni sehemu ya bahati, pamoja na kubadilisha wadhamini ila rangi ya bahati ingezingatiwa pia.