Huyo mjomba ako kabisa...huyu kolo kabisa huyu
Sawa mwana Yanga. 😃Yanga tokea ivae jezi nyeusi haikuwahi kupoteza mchezo wowote ule, itapata goli hata la kujifunga au la uzembe uliopitiliza. Hiyo ni sehemu ya bahati, pamoja na kubadilisha wadhamini ila rangi ya bahati ingezingatiwa pia.
Wee Kolo tulia....Leo ndo tunawaonesha quality ya wachezaji wetu...tulia tulii km ulivyogongwa Jana.....ushindi Leo lazima.Mechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu.
Japo jezi hajichezi ila bahati kwenye mpira upo. Unaweza kucheza vizuri mno na ukakosa matokeo kwasababu bahati haipo upande wako. Na unaweza kucheza hovyo mpira wa hovyo ila ukapata matokeo kwavile bahati ipo upande wako.
Yanga tokea ivae jezi nyeusi haikuwahi kupoteza mchezo wowote ule, itapata goli hata la kujifunga au la uzembe uliopitiliza. Hiyo ni sehemu ya bahati, pamoja na kubadilisha wadhamini ila rangi ya bahati ingezingatiwa pia.
Acha ujinga jezi haicheziMechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu.
Japo jezi hajichezi ila bahati kwenye mpira upo. Unaweza kucheza vizuri mno na ukakosa matokeo kwasababu bahati haipo upande wako. Na unaweza kucheza hovyo mpira wa hovyo ila ukapata matokeo kwavile bahati ipo upande wako.
Yanga tokea ivae jezi nyeusi haikuwahi kupoteza mchezo wowote ule, itapata goli hata la kujifunga au la uzembe uliopitiliza. Hiyo ni sehemu ya bahati, pamoja na kubadilisha wadhamini ila rangi ya bahati ingezingatiwa pia.
Achana na imani za jezi... Feisal ni mchezaji muhimu sana kuwepo Yanga... La sivyo kutoboa ni ngumu sanaMechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu.
Japo jezi hajichezi ila bahati kwenye mpira upo. Unaweza kucheza vizuri mno na ukakosa matokeo kwasababu bahati haipo upande wako. Na unaweza kucheza hovyo mpira wa hovyo ila ukapata matokeo kwavile bahati ipo upande wako.
Yanga tokea ivae jezi nyeusi haikuwahi kupoteza mchezo wowote ule, itapata goli hata la kujifunga au la uzembe uliopitiliza. Hiyo ni sehemu ya bahati, pamoja na kubadilisha wadhamini ila rangi ya bahati ingezingatiwa pia.
Wakati Yanga inatolewa na Al Hilal je Feisal hakuwepo?Achana na imani za jezi... Feisal ni mchezaji muhimu sana kuwepo Yanga... La sivyo kutoboa ni ngumu sana
Umeona leo jinsi mipira ilivyokuwa ikipotea ikifika katikati..?? Umeona jinsi ambavyo pasi zilikuwa zinashindwa kufika kwa mayele...?? Umeona jinsi ambavyo hakukuwa na hata shuti la kujaribu kupiga golini...??? sasa angalia tena game then fananisha na uchezeshaji wa game ya Al hilal na hata ile ya Africain...Wakati Yanga inatolewa na Al Hilal je Feisal hakuwepo?
Wee Kolo tulia....Leo ndo tunawaonesha quality ya wachezaji wetu...tulia tulii km ulivyogongwa Jana.....ushindi Leo lazima.
Mechi unazosemea wewe kazi kubwa ilifanywa na Morrison na wala sio Feisal. Nenda karudie kuangalia vizuri mechi ya kule Sudan, haina tofauti na mechi ya jana. Yanga walimiliki mchezo ila mbele hakukuwa na penetration pass za mwisho na wala za kuweza kufunga goli. Kama unabisha hili njoo na takwimu ya mchezo wa Away wa Yanga. Dhidi ya mechi ya jana. Pengo naloliona ni la Morrison.Umeona leo jinsi mipira ilivyokuwa ikipotea ikifika katikati..?? Umeona jinsi ambavyo pasi zilikuwa zinashindwa kufika kwa mayele...?? Umeona jinsi ambavyo hakukuwa na hata shuti la kujaribu kupiga golini...??? sasa angalia tena game then fananisha na uchezeshaji wa game ya Al hilal na hata ile ya Africain...
Kuna muda ukweli usemwe na tukubali sisi Yanga kutokuwepo Feisal pale kati kutatugharimu