Dah Magufuli hatanii, labda yupo sahihi kwa hili la kuwakamata wasichana wenye mimba

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wasichana watano waliotiwa mimba wamekamatwa pamoja na wazazi wao, na waliowatia wametoweka na wanasakwa, sijui hili limekaaje, nategemea mipovu ya wana harakati na wana habari na jamii za kimataifa, lakini ukirudi hatua chache nyuma uliangalie vizuri, linaonekana sahihi maana sasa wanaume wa Kitanzania watakaa mbali na watoto wa shule, mtakua mnapita kuleeeeeee.....

Hili likija Kenya tutalipokea vipi...

Japo lina sura mbili, maana sielewi kosa la wazazi hapo, msichana katongozwa huko huko kwenye shamba la mahindi wakati anatokea shuleni, ilhali mimi kama mzazi wake nipo mjini napiga misele ili chakula kipatikane, sasa unikamate na kunishtaki kwa lipi.

Edit:
Nahusisha hii video hapa ili wadau wapate picha kamili ya nini kinaongelewa

---------------------------------------------------------------------

Five pregnant schoolgirls together with their parents were arrested and then released on bail over the weekend in Tandahimba, southern Tanzania.

The arrest came following an order by District Commissioner Sebastian Waryuba in a crackdown to end teenage pregnancies in the region.

According to the District Administrative Secretary Mr Mohamed Azizi, authorities are still looking for the men who impregnated the girls who disappeared shortly after a directive was issued.

“We have managed to arrest the girls and their parents but unfortunately those who impregnated the girls have escaped and we are looking for them,” Mr Azizi told The Citizen.

Adolescent pregnancy in the region have been on the rise recently. In 2015, 20 cases were reported while in 2017, some 27 cases were recorded.

Gender and Human Rights activists have decried the directive arguing that the authorities should arrest the culprits rather than the victims.

In June last year, East Africans and women's rights groups condemned Tanzanian President John Magufuli's comments that schoolgirls who give birth should not be allowed back to school.

Tanzania arrests pregnant schoolgirls
 
hiii nchi ni kichekesho ajabu,hivi huyu msanii ametimiza nini baada ya miaka miwili 😀
 
Kenyatta aligawa condom kwa watoto wa shule, zilisaidia kupunguza mimba kwa watoto wa shule?
 
Kukamatwa kwa wazazi ni sahihi. Wao ndio wenye wajibu wa kuwalea watoto wao na kujua nini kinaendelea/kimetokea kwa watoto wao.
Lengo ni pamoja na kupata majibu sahihi ya je kweli mimba ya mtoto imetokana na kubakwa au tabia za mtoto. Kujua nani anahusika na mimba hiyo isije ikawa wazazi walishamuozesha/walishakula mahari ya huyo binti akiwa shule. Je wazazi waliitumia vizuri nafasi yao kama wazazi au walizembea na kupelekea mtoto kujihusisha na mapenzi hadi mimba.

Kumbuka kuna wazazi wengine huchangia watoto kupata mimba wakiwa shuleni na ikibainika hivyo, wanastahili kushtakiwa.
 
Napenda kujua wanashtakiwa kwa kosa lipi

Watashtakiwa kwa kosa watakalokutwa nalo.
kwa mfano: Ni kosa kumuozesha mtoto mdogo. Kuna wazazi wengine huwatuma watoto wao wafanye uzinzi kwa manufaa yao.

Wakati mwingine mtoto anaweza kuwa alibakwa na taarifa ilitolewa - hili si kosa la mzazi.
 
Kama walimuozesha hapo sawa. Vipi wale ambao mtoto ni mwanafunzi akapewa mimba? Wazazi wana hatia gani?
 
Lazima ijulikane kwa nini mtoto alipewa mimba. Sababu hizi ni mzazi anayeweza kuzijua kwa urahisi zaidi ndio maana anaitwa kuelezea kuhusu mwanawe. Yeye ndiye shahidi wa kwanza. Kuitwa kwenda kuelezea sio kwa sababu ana hatia. Ninachokiona hapa watu wanastuka kwa nini mzazi aitwe... kuitwa sio kosa. Hivi mwenye habari kamili kuhusu mtoto ni nani kama sio mzazi???
 
Kama ni kuitwa sawa, watu wanasema wamekamatwa
 
Lazima ijulikane kwa nini mtoto alipewa mimba. Sababu hizi ni mzazi anayeweza kuzijua kwa urahisi zaidi ndio maana anaitwa kuelezea kuhusu mwanawe. Yeye ndiye shahidi wa kwanza. Kuitwa kwenda kuelezea sio kwa sababu ana hatia. Ninachokiona hapa watu wanastuka kwa nini mzazi aitwe... kuitwa sio kosa. Hivi mwenye habari kamili kuhusu mtoto ni nani kama sio mzazi???
Wewe una mtoto?
 
Wasichana watano waliotiwa mimba wamekamatwa pamoja na wazazi wao, na waliowatia wametoweka na wanasakwa, sijui hili limekaaje, nategemea mipovu ya wana harakati na wana habari na jamii za kimataifa, lakini ukirudi hatua chache nyuma uliangalie vizuri, linaonekana sahihi maana sasa wanaume wa Kitanzania watakaa mbali na watoto wa shule, mtakua mnapita kuleeeeeee.....

Hili likija Kenya tutalipokea vipi...

Japo lina sura mbili, maana sielewi kosa la wazazi hapo, msichana katongozwa huko huko kwenye shamba la mahindi wakati anatokea shuleni, ilhali mimi kama mzazi wake nipo mjini napiga misele ili chakula kipatikane, sasa unikamate na kunishtaki kwa lipi.

---------------------------------------------------------------------

Five pregnant schoolgirls together with their parents were arrested and then released on bail over the weekend in Tandahimba, southern Tanzania.

The arrest came following an order by District Commissioner Sebastian Waryuba in a crackdown to end teenage pregnancies in the region.

According to the District Administrative Secretary Mr Mohamed Azizi, authorities are still looking for the men who impregnated the girls who disappeared shortly after a directive was issued.

“We have managed to arrest the girls and their parents but unfortunately those who impregnated the girls have escaped and we are looking for them,” Mr Azizi told The Citizen.

Adolescent pregnancy in the region have been on the rise recently. In 2015, 20 cases were reported while in 2017, some 27 cases were recorded.

Gender and Human Rights activists have decried the directive arguing that the authorities should arrest the culprits rather than the victims.

In June last year, East Africans and women's rights groups condemned Tanzanian President John Magufuli's comments that schoolgirls who give birth should not be allowed back to school.

Tanzania arrests pregnant schoolgirls
Wakati huo huo wabakaji na walawiti kina Babu Seya kawaachia huru...

Hii inawezekana Tanzania peke yake...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] asaiv utaskia mzaz anakupa ada ya shule na kukusndizia haya maneno" karuke ruke ukipta mimba naenda ripot polisi"
 
Kusini ni kawaida ndivyo walivyo Wanakapenda mno kamchezo Wala sioni ajabu ni mafundi
 
Back
Top Bottom