Dah! Muacheni Diamond kidogo

Na ili kuiona hotuba inatakiwa uskip ads. Amabapo tayari unakua ulishamuongezea view mwenye hiyo ads..
 
mgejua mondi mwenyew anapenda kweli kuzungumizwa
 
Na ili kuiona hotuba inatakiwa uskip ads. Amabapo tayari unakua ulishamuongezea view mwenye hiyo ads..
Kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana ni legal and anyone can do that, lkn kwa maelezo ya wengi including Mange Kimavi inaonekana ni illegal. Embu nifafanulie hapo ununuzi upi ni illegal ambao Mondi anatumia
 
Sijapata kuona mtu mzushi kama yule. Anawezaje kusema mchaga sijui mpare wa zimamoto ni mnyarwanda? Kuna faida gani kuwachafua watu?
 
Kwa jinsi ulivyoelezea inaonekana ni legal and anyone can do that, lkn kwa maelezo ya wengi including Mange Kimavi inaonekana ni illegal. Embu nifafanulie hapo ununuzi upi ni illegal ambao Mondi anatumia
Ununuzi hauna shida kabisa. Wala hakuna makosa aliyofanya kuilipia video ili iwe promoted kwa views.. lkn shida ni kuwa wengi wanaongelea king kiba alivunja rekodi yake bila kununua views so mond akaamua kurudi ktk rekodi yake lkn kwa njia ya magumashi ambayo kaforce kupata views.. angeachia ngoma bila kununua views then tuone ingekuwaje. Hakika asingeweza kuvunja rekod ile ya kiba bila kulipia youtube wampr promo
 
....Na wewe unakusanya nini ili maisha yako yasonge?
Unataka kujua ili iweje?? Mimi sio public figure!!
Nafikiri umenielewa, kama haujanielewa basi utakuwa na hitilafu upstairs!!
 
Mwanadamu Huwezi kuwa nusu. Siasa gani nzuri matusi kumbuka she is above 38 .so compare contrast and Come with Sound and reasonable conclusion. Go and argue with her kwa hoja then u one kama utabaki hiyo Page.
 
Mondi ndo wakwanza kuwepo Vevo kabla ya huyo Alikiba yeye ndo alifungua mlango wa Vevo Tz.....na Nyimbo yake Marry you ndo ina viewers wengi kwa Wasanii wa Tz walio na waliowahi kuwa channel Vevo
Uzuri wa Mondi na Management yake wanaangalia maslahi na co kwa kuwa watu wanakihitaji mfano mzuri kwenye kusajiliwa na Record label.
 
acha uongo hivi unajua diamond ana mkataba gani na youtube unajua adhabu yake ni kufutiwa chanel na youtube hivu unajua monitor ya youtube acha kuropoka ad za youtube wanaleta kwa vitu poplr

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Mange hana tofauti na wadada wa saluni! Siku hizi simfagilii tena kwani ni mtu anayelalia upande mmoja na si mtetea haki km anavyojipambanua!
 
Kweli kama hujui jambo hujui tu.
Huko siyo kununua views kunakoongelewa.
Halafu kumbuka jamaa anafanya biashara haimbi mziki ili kushindanisha views kama kalipia matangazo mziki wake utazamwe na wengi hiyo ndiyo biashara yenyewe.
Wabongo mtaelimika lini kuwa mziki ni biashara ma biashara ni matangazo, no wonder diamond form two leaver amekuwa na mawazo kuwazidi ndiyo maana kaukuta mziki umestuck kaubeba na kuugeuza biashara kubwa.
Watu walikuwa wanafanya mziki bila kuwekeza kila biashara ni matangazo kama mnataka ushindani wa sifa mtaani huo ujinga.
 
acha uongo hivi unajua diamond ana mkataba gani na youtube unajua adhabu yake ni kufutiwa chanel na youtube hivu unajua monitor ya youtube acha kuropoka ad za youtube wanaleta kwa vitu poplr

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
wabongo bana, eti kanunua, kama mtu hajui aulizeee na sio kujidai unaeweza ..SAFI BRO
 
Aaah kwahiyo Dai views yangu youtube kanunua.. sasa mbona hela sipati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…