Dah! Muacheni Diamond kidogo

Mastar wakubwa duniani wako VEVO..why Mondo..ujanjaujanja
Acha ushamba ww alie kwambia kua Diamond hana A/C Vevo nani naona
upo tim ile ya Umoja wa Kumsapoti Mange..
ukm@
 
Leo mpinzani wa Abdul ambaye ni Kiba yuko vevo. Mange naye huyo. Anataka Diamond aende huko kushindana na Kiba...
Hapa ndipo Mange alipothibitisha kwamba unaweza kuwa Marekani lakini bado ukawa mshamba tu manake kwa asiye mshamba wala hawezi kuongea jambo kama hilo; mosi anafahamu hata hizo akaunti wanazodhani ni Vevo account, na zenyewe zinakuwa accessed through Youtube na wala sio directly from Vevo!!!

Na kwavile Tanzania huwezi ku-access Vevo, 99.9% ya views zetu zinatokana na Youtube na sio Vevo! That's why, ukiingia kwenye Vevo account, Seduce Me ina "Likes" chini ya 50 wakati ngoma hiyo upande Youtube channel ina "Likes" zaidi ya elfu 50!!!

Why? Kwa sababu hiyo ngoma inakuwa accessed more kupitia Youtube na sio Vevo lakini Mange hafahamu hili huku akidhani kuwa Vevo ni big deal!!!
 
Mastar wakubwa duniani wako VEVO..why Mondo..ujanjaujanja
Ujanja ujanja kivipi?! Hebu nipe tofauti kati ya Vevo Youtube channel account na Youtube account ya kawaida huku ukijikita mada iliyopo!!

Pole, najua nimekuonea manake I am sure 100% huwezi kutoa jibu la maana kwahiyo sio mbaya, you can ignore the question!
 
Unahisi kiba yeye hakufanya hii kitu vevo alilipia na instagram alilipia ngoma ikawa sponsored, usifikiri wengne hatukuona.
 
Haaaaaaaa child support ndiyo kimemuweka mjini.....Mbona wana mali nyingi tu huku kwann asirudi kwao tu
 
Ukimchukia mtu hua unatumia nguvu nyingi sana
 
mi shabiki wa mondi ila ile seduce me ya kiba ni pini balaa.hajawahi kutoa bonge ya kitu kama ile
 
Mwambie afungue hlo Kanisa.
 
Sasa si mtu anafanya biashara, ni akili tu ya kuingiza pesa, tena kihalali kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…