Dah! Muacheni Diamond kidogo

Dah! Muacheni Diamond kidogo

Huyo mange ni kama ana bipolar. Akikuandama ni anakuandama for years.mwisho anakua obsess na wewe.ndio anavyomfanyia diamond.alimuandama shamim yule dada akawa kimya.kwa mond kisa ni wema ambao wema na diamond kila mtu ame move on yeye bado obsession inaendelea.ukimzoea hakupi shida.ila akiongea kwenye siasa anajua na ana point Nzuri tu.
 
Mange anaona wivu,maisha wanayoishi wadada wengi wa kibongo wamemzidi yeye,ni mpenda show off lakini hana cha kuonyesha,hana nyumba,gari nzuri wala investment yeyoye, alidhani kukimbilia mimba na mzungu ndio dili,matokeo yake kabakia kuishi kwa child support km vile mwanafunzi wa Heslb na Boom...
 
Kununua views diamond ni kweli kanunua. Me mwenye ni mmoja wapo. Nilikua nataka kuangalia documentary ya wanyama. Ile kufungua tu!! Nakutana na ads ambayo ni muziki wa diamond. Kwa kua nishazoea kikutana na matangazo km ya tigo etc.. basi Nikasema hebu ngoja nicheki na hili tangazo ambalo diamond yumo ni la nini.kuangalia naona linaendelea zaidi ya dk 2 na kumbe sio tangazo ni wimbo kbs.. so alilipia youtube ili autangaze wimbo km vile yanavyotangazwa matangozo ya tigo. Voda. Amazon. Alibaba. Etc
 
Mange kuja uku pwiiz wanakudiskasi naona wamekumic
 
I mean bila kuskip ads. Utaangalia mziki hadi mwisho na km ukiskip ili uangalie kile ulichokitarajia basi diamond anakua asha earn view yako.
 
Huyo mange ni kama ana bipolar. Akikuandama ni anakuandama for years.mwisho anakua obsess na wewe.ndio anavyomfanyia diamond.alimuandama shamim yule dada akawa kimya.kwa mond kisa ni wema ambao wema na diamond kila mtu ame move on yeye bado obsession inaendelea.ukimzoea hakupi shida.ila akiongea kwenye siasa anajua na ana point Nzuri tu.
Hana lolote analolijua kwenye sasa,kazi yake kubwa ni kutumika tu na maadui wa magu
 
Kununua views diamond ni kweli kanunua. Me mwenye ni mmoja wapo. Nilikua nataka kuangalia documentary ya wanyama. Ile kufungua tu!! Nakutana na ads ambayo ni muziki wa diamond. Kwa kua nishazoea kikutana na matangazo km ya tigo etc.. basi Nikasema hebu ngoja nicheki na hili tangazo ambalo diamond yumo ni la nini.kuangalia naona linaendelea zaidi ya dk 2 na kumbe sio tangazo ni wimbo kbs.. so alilipia youtube ili autangaze wimbo km vile yanavyotangazwa matangozo ya tigo. Voda. Amazon. Alibaba. Etc
Kwa hiyo kulipia tangazo ndo kununua views?
 
Kwani hapo kuna ubaya? Ye Mange naona anazungumzia mtazamo tofauti. Labda hao vevo hawauzi matangazo, ila ni suala la muda tu
 
Kwa hiyo kulipia tangazo ndo kununua views?
Yeah ndo maana yake. Ipo hivi. Unapolipia unafanya youtube waitangaze video yako. Yaani unawwza ukawa unaifungua hotuba ya mwanasiasa fulani kwenye youtube ila badala ya hotuba inajitokeza video iliyolipiwa huku ikiwa imejiplay automatic. So hata km ukiskip hiyo video.. I mean uwe hujaiona hata sec 3 basi mwenye vudeo anakua ameongeza view kwenye video yake. ..
 
Back
Top Bottom