Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha
Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha
Ukiwa ndani ya Kristu wewe na familia yako mambo yote ni bomba hakuna zengwe hapo..........ni dhambi tu inayotufanya kuwa na karaha zisizo na kikomo.......................................Accept Christ as your LORD and Saviour, and get into a good Bible based Church and you will have the Promise of the PEACE OF GOD..........................ninajua wenye imani mbadala ...............,......may feel offended by the truth......................THE only GOSPEL TRUTH..
I see kumbe it's that simple eheeeTafuta mwenza mwingine muanze tena
yap si unajua saa za kufukuziana full malavidavi sasa hayarudii kwa yuleyule aanze upyaai see kumbe it's that simple eheee
Kwahiyo yule wa kwanza ulimuacha kwa style hiyo lol!!yap si unajua saa za kufukuziana full malavidavi sasa hayarudii kwa yuleyule aanze upyaa
aliniachakwahiyo yule wa kwanza ulimuacha kwa style hiyo lol!!
Tafuta mwenza mwingine muanze tena
Haujawahi achwa wewe sema mliachanaaliniacha
Inakuwa kama vile mchezo wa SEEK and HIDEbebii huu ushauri balaa
so wakizeeka wanatafuta mwingine tena wanaanza tena from scratch
aliniachahaujawahi achwa wewe sema mliachana
NDOA kama NDOA sio ngumu ila sisi binadamu kwa matendo na tabia zetu ndio tunaifanya NDOA kuonekana ni ngumu, NDOA ni jambo lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu, sasa sisi wanadamu tunapoenda nyendo zetu zisizompendeza Mungu ndipo pale tunapojisababishia matatizo na kuifanya NDOA kuonekana kama vile ni kitu cha kuogopeka machoni mwa watu.
Ha ha ha NN brother, you mean my signature?Ndoa kama ndoa sio ngumu? What in the blue hell does that mean?