Dah ndoa ngumu

Dah ndoa ngumu

doa gumu kama hujui kusema I'm sorry.....

 
Last edited by a moderator:
A precious word has always been I forgive you.............but how often it is shredded to pieces...............as if it does not matter.......

 
Last edited by a moderator:
Ndoa sio ngumu, we mwenyewe unaifanya ngumu,
ukiona hubembelezwi, bembeleza wewe.
Ukiona hupelekwi out, peleka wewe
kila unachotamani kufanyiwa ukiona hufanyiwi anza kufanya wewe.

hapo ndoa itakuwa tamu,
usikariri kuwa lazima kila kitu ufanyiwe wewe, mfanyie mwenzio na wewe.
 
Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha

Usilaumu
je wewe ushawahi kufanya hivyo
je wewe si mmoja wa watu ambao wamepoa kwenye ndoa zao
je wewe si mmoja ambao hawawajali wenzi wao
Kitu ukikifanya wewe na ukaona mwenzio harespond una haki ya kulalamika ila kama mwenzako anarespond usilaumu
Anzisha na then uone kama hatafuata
 
Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha

Je ndoa yako ina miaka mingapi unayoiita mingi?
 
Ukiwa ndani ya Kristu wewe na familia yako mambo yote ni bomba hakuna zengwe hapo..........ni dhambi tu inayotufanya kuwa na karaha zisizo na kikomo.......................................Accept Christ as your LORD and Saviour, and get into a good Bible based Church and you will have the Promise of the PEACE OF GOD..........................ninajua wenye imani mbadala ...............,......may feel offended by the truth......................THE only GOSPEL TRUTH..

Frankly speaking, umeongea. Watu wengi tunalalamika kwa sababu tumeacha misingi ya furaha na kutafuta amani zetu.
Huwezi mtegemea shetani then upate amani. Atakupa kila utakacho ila siyo amani. Atakupa hela atakujengea hofu na mashaka ya kuzimu. Utapata mke mzuri (kwa muonekano) utaibiwa.
 
NDOA kama NDOA sio ngumu ila sisi binadamu kwa matendo na tabia zetu ndio tunaifanya NDOA kuonekana ni ngumu, NDOA ni jambo lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu, sasa sisi wanadamu tunapoenda nyendo zetu zisizompendeza Mungu ndipo pale tunapojisababishia matatizo na kuifanya NDOA kuonekana kama vile ni kitu cha kuogopeka machoni mwa watu.

Vile vile ikumbukwe matatizo ya kwenye ndoa yanatofautiana hauwezi kuangalia matatizo ya mwenzako ukalinganisha na ya kwako, kuna wengine wanaogopa kuingia kwenye ndoa kwa kuona tu baadhi ya mambo yakitokea kwenye ndoa za watu wengine na yeye akiamini jambo hilo hilo litatokea kwenye NDOA yake, jambo la msingi ni kusali na kumuomba Mungu akuepushe na vikwazo na majaribu mbalimbali
 
Tafuta mwenza mwingine muanze tena
 
NDOA kama NDOA sio ngumu ila sisi binadamu kwa matendo na tabia zetu ndio tunaifanya NDOA kuonekana ni ngumu, NDOA ni jambo lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu, sasa sisi wanadamu tunapoenda nyendo zetu zisizompendeza Mungu ndipo pale tunapojisababishia matatizo na kuifanya NDOA kuonekana kama vile ni kitu cha kuogopeka machoni mwa watu.

Ndoa kama ndoa sio ngumu? What in the blue hell does that mean?
 
zingatia haya utafaid 1.sema SAMAHANI (nisamehe) unapomkosea 2.NAKUPENDA SANA KWA MANENO NA VITENDO3.POLE MUME WANGU 4. KARIBU MME WNGU 5.MUULIZE ANACHOPENDA KULA NA UMPIKIE WEWE MWNYEWE NA HATA CK 1 USIMWACHE MUMEO ALE PEKE YK HT KM UMESHAKULA JITAHIDI KULA KIDOGO7.MPE VIZURI CHAKULA YA NDOA .haya ni ya msingi yk na mengn mengi sn
 
Back
Top Bottom