Hilo swali hata mimi nmejiuliza sana
Kweli media is everything
Sio kwa mpaisho huo wakati katika ukoo wangu mzima inawezekana alosaidiwa na ruge hakuna hata mmoja.
Hata kwenye life cycle yangu hakuna alipointrude kwa namna yoyote