Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #21
Aisee, wamalizie tu kumzika leo tujadili mengine bana, maana kwenye media kuanzia alipofariki tu, ndio mjadalaHahahah watasema unamuonea wivu marehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, wamalizie tu kumzika leo tujadili mengine bana, maana kwenye media kuanzia alipofariki tu, ndio mjadalaHahahah watasema unamuonea wivu marehemu.
Vipindi no, maombolezo tu utadhani kafa yesuAisee, wamalizie tu kumzika leo tujadili mengine bana, maana kwenye media kuanzia alipofariki tu, ndio mjadala
Ukilaza wa watu tu, mimi hata kitu kipigwe vipi promo kwenye media hakiwezi kunifanya nione nyeusi ni nyekunduHilo swali hata mimi nmejiuliza sana
Kweli media is everything
Sio kwa mpaisho huo wakati katika ukoo wangu mzima inawezekana alosaidiwa na ruge hakuna hata mmoja.
Hata kwenye life cycle yangu hakuna alipointrude kwa namna yoyote