Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mnyama atakuwa kapigwa mshale huko mtaani na alikuwa na katoto,sasa nadhani msamaria kamkuta kampeleka Hospitali ya wanyama kuondolewa huo mshale,sasa katoto hakaelewi chochote kenyewe kananyonya wakati huo mama anapumulia mashine akipambania uhai.Ni mimi ndo tu ndo sijaelewa au
Sio peke yako..., hapa ukisema hujaelewa utaonekana huna hela.Ni mimi ndo tu ndo sijaelewa au
Kula nguo uipendayo na pesa sehemu ambayo hata dukani haikubaliki jinga sana Panya japo binafsi sijakutana na balaa lao nasimuliwa tu 😆😆Shida Nini ajauawa anafanyiwa experiment afu
Panya unamjua amewahi kula vyeti vyako vya kitaaluma kati kati.