Dah! picha hii imesikitisha sana

Dah! picha hii imesikitisha sana

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Haijalishi ni mnyama ila najua utajisikia vibaya mno.

Screenshot_20230715_180218_Quora.jpg
 
Ni mimi ndo tu ndo sijaelewa au
Huyo mnyama atakuwa kapigwa mshale huko mtaani na alikuwa na katoto,sasa nadhani msamaria kamkuta kampeleka Hospitali ya wanyama kuondolewa huo mshale,sasa katoto hakaelewi chochote kenyewe kananyonya wakati huo mama anapumulia mashine akipambania uhai.
 
Shida Nini ajauawa anafanyiwa experiment afu

Panya unamjua amewahi kula vyeti vyako vya kitaaluma kati kati.
Kula nguo uipendayo na pesa sehemu ambayo hata dukani haikubaliki jinga sana Panya japo binafsi sijakutana na balaa lao nasimuliwa tu 😆😆
 
Back
Top Bottom