Huyo mnyama atakuwa kapigwa mshale huko mtaani na alikuwa na katoto,sasa nadhani msamaria kamkuta kampeleka Hospitali ya wanyama kuondolewa huo mshale,sasa katoto hakaelewi chochote kenyewe kananyonya wakati huo mama anapumulia mashine akipambania uhai.