Halafu ni kama vile walipita kufagia uchafu wao wote maana mitaani kweupe. Wameondoka na shells zao za risasi.yale majamaa yalikuwa na magazines za kutosha vyuma vilikuwa full loaded yanamimina risasi kama njugu, halafu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hawajui zile bunduki zimeingiaje nchini? au ndo kazi ya lile kontena la siraha?
hivi hii nchi hakuna hata drone za surveillance maana majamaa yalikuwa yanaua watu mchana kweupe
Ni katika kupooza machungu tu, kuliko kuangalia uapisho bora ukapoe sehemu na bidadaNchi iko msibani wakuu mnatuzunguka mnapata na muda wa kuchezeana vikojoleo π
Hajui akikutajia mbususu wewe unavuta hisia za kale kaharufu, unakuvurugwa hadi unatoka kwenye focus π π€£Kwahiyo umeshindwa kuhuzunika kistaarabu hadi ututajie mbususu hapa ndugu.
Acha tu basi, huzuni inatukosesha mambo mengi hii.Hajui akikutajia mbususu wewe unavuta hisia za kale kaharufu, unakuvurugwa hadi unatoka kwenye focus
Asee , mungu atalipa tu πAcha tu basi, huzuni inatukosesha mambo mengi hii.
Wee zifimue kwaraha zako!!π