Taarifa zote ninazo na nimemwacha tu, nataka anogewe ndio nitamfumania vizuri sasa!Taarifa za kiintelijensia ya Chit chat, imegundua kuwa watu wengi katika kila jambo wanapotala upenyo au uexcue sasa imekuwa rahisi zaidi kwa kutumia kisingizio cha Obama, baadhi yao waliogundulika ni hawa wafuatao:
Taarifa zote ninazo na nimemwacha tu, nataka anogewe ndio nitamfumania vizuri sasa!
Si mmeshamsikia akijitangazia kuwa marejesho ni wake, kwa ufupi hajui atendalo, atashitukia siku nawaambia vijana wangu "APIGWE TU"!, ndo atagundua kuwa marejesho ni mke wa watu!...Worse itakuwa too late!..mwambieni mtu huyo jamani, mimi naheshimiana naye sana ati!
Kwa sababu ya intelijensia au?
......ndo mana na avatar umebadilisha!!lazima niwapige fiksi bhana nina appointment na Sasha Obama ili masista du walionitosa wakubali
najipanga vizuri hapa nimeshajipulizia pafyum si ulitosa wewe......ndo mana na avatar umebadilisha!!
Kila la kheri....Unamtaka Sasha au Malianajipanga vizuri hapa nimeshajipulizia pafyum si ulitosa wewe
Malia funiko aisee smile yake kama mamaKila la kheri....Unamtaka Sasha au Malia
Taarifa zote ninazo na nimemwacha tu, nataka anogewe ndio nitamfumania vizuri sasa!
Si mmeshamsikia akijitangazia kuwa marejesho ni wake, kwa ufupi hajui atendalo, atashitukia siku nawaambia vijana wangu "APIGWE TU"!, ndo atagundua kuwa marejesho ni mke wa watu!...Worse itakuwa too late!..mwambieni mtu huyo jamani, mimi naheshimiana naye sana ati!
Taarifa za kiintelijensia ya Chit chat, imegundua kuwa watu wengi katika kila jambo wanapotaka upenyo au excuse sasa imekuwa rahisi zaidi kwa kutumia kisingizio cha Obama, baadhi yao waliogundulika ni hawa wafuatao:
- Uncle wangu Bishanga ameuza ile vogue yake, ila kwa kawada ya misifa ya kihaya, amewaambia mtaani kwake iko kwenye msafara wa Obama!
- Mzee wangu Asprin, hajaonekana kwake siku ya tatu leo, akisingizia yuko kwenye maandalizi ya msafara wa Obama, Japo kiukweli yupo "Kuokoka lazima Guest house"
- Kaka Yangu Filipo ametumia ubize wa PakaJimmy kwenda kushinda na my wife wa PJ kwa kisingizio kuwa ofisi imefungwa kwaa jili ya msafara wa obama
- Erickb52, amemuambia Amyner hatamuone weekened hii kwani bara bara zimefungwa kwa ajili ya ujio wa Obama, lakini ukweli ni kwamba alikuwa bado anambembeleza Remmy amrudie tena...
- Bishanga amekataa kumuona the secrertary kwa kisingizio kwa yuko bize na msafara wa obama ilhali kumbe yupo bize na Zahra White akichochea ka penzi kapya!!! (kazi kwelikweli)
- Excellent ameomba ruhusa ya kutokwenda kazini ati ana appointment na Sasha Obama, ilhali kiukweli alionekana akiongea jambo na housigeli wa nyumba ya jirani
- BAGAH ameenda kukopa supu kwa mama ntilie kwa kisingizio kuwa pesa yote amemalizia kwa maandalizi ya Obama, ilhali kumbe alitapeliwa na kale ka binti alikokutana nako hapa JF
- Nicas Mtei ameamua kuhama mtaa ili aweze kuonana na Obama japo kiukweli alikuwa anadaiwa kodi ya nyumba kwa muda nrefu sana!
- Maxence Melo amesema atafunga JF kwa siku 2 kupisha ujio wa obama, japo ukweli ni kuwa anataka kutmia muda huo kusafisha Seva kwa kuondoa memba wasumbufu kama manoah, charminglady, platozoom, stevoh, Madame B, Kongosho na wengine weengi
- Hata mimi nina udhuru kidogo, mkona sionekani hapa nitakuwa huko huko ( kiukweli ntakuwa na mambo yangu tu)
nimesema ukweli sijavujisha siri yoyote...