Dah!This mature woman is crazy . . .!

Dah!This mature woman is crazy . . .!

Natafuta muigizaji mahiri wa kucheza hii script.
Nadhani Mujuba, Jesca Brown, Mzee Kasri na Sitti pamoja na Dama {Kibiriti ngoma} watafanya vizuri sana
Nothing new under the Sun.., If you think about it, there is a big chance it has already been done...

thumbnail.aspx
 
Mkuu sun wu ,where have u been?Karibu mkuu ulipotea mno,asaunte kwa ujumbe huo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sun wu ,where have u been?Karibu mkuu ulipotea mno,asaunte kwa ujumbe huo!
Mkuu nipo majukumu mengi tu mkuu....

Experience na kuona mengi kumenifundisha kwamba kuna mambo huwa yanatokea ambayo ni stranger than fiction.., kwahio issue kama hii, karne kama hii na uliwengu kama huu si ajabu ikatokea au ikatokea ya ajabu kuliko hii.

Kuna story ya the Mendez Brothers waliowauwa wazazi wao ili wapate pesa zao.., walivyoshikwa kwenye case yao wakawasingizia wazazi wao kwamba walikuwa wanawa-abuse, kwahio mkuu binadamu is capable of anything..
 
Msalimie mwambie nimemiss hivi unafanyakazi kwenye magazeti maana una visa wewe

Hapana sifanyi huko,vijana huwa mara nyingi huniomba ushauri kuhusu visa vyao,nikiona kisa kinaweza kuwafundisha watu naomba ruksa kisha naviweka hapa!
 
Hapana sifanyi huko,vijana huwa mara nyingi huniomba ushauri kuhusu visa vyao,nikiona kisa kinaweza kuwafundisha watu naomba ruksa kisha naviweka hapa!

Unaandika kama mwandishi wa habari kila la heri...................
 
Hawa wanandoa wamekaa pamoja kwenye ndoa kwa miaka 25.Mume ana umri wa miaka 53 na mke ana miaka 50!Wanaishi maeneo ya Nyamanoro,jijini hapa Mwanza.Tukio la kusikitisha lililotokea miezi mi 2 iliyopita limeniacha na mshangao pale mzee alipomfumania mkewe nyumbani kwake akila tunda na dreva wao.Kwa maelezo ya dereva ambae ni jamaa yangu na ndie ameniambia mkasa huu,pia ameniruhusu niuweke hapa,jamaa yangu huyu anadai kuwa chanzo cha kuanza kufanya ngono na mama huyo ni baada ya mama huyo kugundua uhusiano wa dereva huyo na mwanae wa kike ambae ni mwanachuo SAUTI.Ndipo mama alimtisha kumwambia mzee mwenye mji uhusiano huo,jamaa aliogopa kutokana na sifa ya ukatili aliyonayo mzee yule.Ndipo yule mama akamwambia atamtunzia siri kama atakubali kufanya nae pia.Kijana kwa woga alikubali na waliendelea kwa muda mrefu huku pia jamaa akiendeleza na binti.Siku ya fumanizi,mzee alipowafuma alizimia ndipo jamaa akapata mwanya wa kukimbia na amehama kabisa mkoa.Yule mzee hajamfukuza mkewe lakini hawalali chumba kimoja,na wanashirikiana shughuli zingine kama kawaida!Ama kweli,Utu uzima dawa . . . . . !!

Eiyer sijui hizi taarifa unazipata wapi? Habari imetulia mzee maana hamna hata sehemu ya kuchangia. Sakata la huyo mzee na dereva wake lilianza na dereva kajihukumu mwenyewe kwa kutoroka na mzee kamhukumu mkewe kwa kujitenga kuwa naye chumba kimoja! Sasa sijui hapa binti naye atalamba adhabu gani, Lol!
 
Last edited by a moderator:
Bwanshemeji si fair kabisa unavyonifanyia; its not like thatoooh!
Mwenyewe anajua kinachonipagawisha!

Kwa hiyo nyama ya ulimi lazima ndugu yangu Eiyer auze ng'ombe wote wa urithi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom