Dah!This mature woman is crazy . . .!

Natafuta muigizaji mahiri wa kucheza hii script.
Nadhani Mujuba, Jesca Brown, Mzee Kasri na Sitti pamoja na Dama {Kibiriti ngoma} watafanya vizuri sana
Nothing new under the Sun.., If you think about it, there is a big chance it has already been done...

 
Mkuu sun wu ,where have u been?Karibu mkuu ulipotea mno,asaunte kwa ujumbe huo!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sun wu ,where have u been?Karibu mkuu ulipotea mno,asaunte kwa ujumbe huo!
Mkuu nipo majukumu mengi tu mkuu....

Experience na kuona mengi kumenifundisha kwamba kuna mambo huwa yanatokea ambayo ni stranger than fiction.., kwahio issue kama hii, karne kama hii na uliwengu kama huu si ajabu ikatokea au ikatokea ya ajabu kuliko hii.

Kuna story ya the Mendez Brothers waliowauwa wazazi wao ili wapate pesa zao.., walivyoshikwa kwenye case yao wakawasingizia wazazi wao kwamba walikuwa wanawa-abuse, kwahio mkuu binadamu is capable of anything..
 
Msalimie mwambie nimemiss hivi unafanyakazi kwenye magazeti maana una visa wewe

Hapana sifanyi huko,vijana huwa mara nyingi huniomba ushauri kuhusu visa vyao,nikiona kisa kinaweza kuwafundisha watu naomba ruksa kisha naviweka hapa!
 
Hapana sifanyi huko,vijana huwa mara nyingi huniomba ushauri kuhusu visa vyao,nikiona kisa kinaweza kuwafundisha watu naomba ruksa kisha naviweka hapa!

Unaandika kama mwandishi wa habari kila la heri...................
 

Eiyer sijui hizi taarifa unazipata wapi? Habari imetulia mzee maana hamna hata sehemu ya kuchangia. Sakata la huyo mzee na dereva wake lilianza na dereva kajihukumu mwenyewe kwa kutoroka na mzee kamhukumu mkewe kwa kujitenga kuwa naye chumba kimoja! Sasa sijui hapa binti naye atalamba adhabu gani, Lol!
 
Last edited by a moderator:
Bwanshemeji si fair kabisa unavyonifanyia; its not like thatoooh!
Mwenyewe anajua kinachonipagawisha!

Kwa hiyo nyama ya ulimi lazima ndugu yangu Eiyer auze ng'ombe wote wa urithi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…