fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
[emoji23][emoji23] tia tupu tu mkuu kwani bei ngapi!Umeona hiyo picha yake ya kulia....hata mm ningemuo angekuwa vile.....ila hivi alivyo siwezi kutia tupu yangu ya mbele kwake
Aiseee. Na kweli usemacho japo mwisho wa siku madhara yanakuwa kwake na hao kina naniliu hatowaona tenaPesa pesa mamaa .. hapo wateja wake wakubwa watakuwa ni wabunge ma-star na mawaziri " waweza kukuta hata stone nae ana mmezea mate .... he hee kaenda Guangzhou kuiongezea thamani bidhaa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hao hao MkuuAfurahishe wanaume
Ndio maisha dada yangu ..kupanga ni kuchaguaAiseee. Na kweli usemacho japo mwisho wa siku madhara yanakuwa kwake na hao kina naniliu hatowaona tena
Yah. Kabisaaa.
Kwa hio kabaleh bada ya miaka 20 ????? En [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Hilo ni OG
Kawaida mwanamke yeyote anapobalehe hutanuka nyonga
Hahaaaa mahips mengine hapanaNchi hii walemavu wanakua maarufu sana.
Ngoja afurahie ujana, baada ya miaka 10 atajutia maamuzi yake hafu atakuwa hana tiba, akamuulize Wema SepetuPoshi atowe tu siri yamafanikio nawale wenye povu muombeni poshy queen awape siri ...View attachment 1004222
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani. Na hakuna kingine hapo. Mkichanganyikiwa ye ndio faraja kwake.
XiJingPing Ametisha SILICON haingopi ila aliTAKE Risk Sana.