Dah Wachina noma!

Dah Wachina noma!

Pesa pesa mamaa .. hapo wateja wake wakubwa watakuwa ni wabunge ma-star na mawaziri " waweza kukuta hata stone nae ana mmezea mate .... he hee kaenda Guangzhou kuiongezea thamani bidhaa yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee. Na kweli usemacho japo mwisho wa siku madhara yanakuwa kwake na hao kina naniliu hatowaona tena
 
Baada ya muda utasikia anauza hizo dawa mwnyw
 
Kile Kipindi Cha Kenya Churchill
Wanasema Akatupa Utamu Kwa Ndizi, Mananasi, Machungwa, Maembe Na Mwingine Akatupa Kwa Wamama 😄😀😁😂🤣
 
Back
Top Bottom