Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe anadai amerithi kwa mama na pia amenenepa lkn ni hipsi peke yake.Poshi atowe tu siri yamafanikio nawale wenye povu muombeni poshy queen awape siri ...View attachment 1004222
Sent using Jamii Forums mobile app
Poshi atowe tu siri yamafanikio nawale wenye povu muombeni poshy queen awape siri ...View attachment 1004222
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wabayaaa aisee!Poshi atowe tu siri yamafanikio nawale wenye povu muombeni poshy queen awape siri ...View attachment 1004222
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo huyo kabalehe hivi karibuni?Hilo ni OG
Kawaida mwanamke yeyote anapobalehe hutanuka nyonga
Pesa pesa mamaa .. hapo wateja wake wakubwa watakuwa ni wabunge ma-star na mawaziri " waweza kukuta hata stone nae ana mmezea mate .... he hee kaenda Guangzhou kuiongezea thamani bidhaa yakeDuuh. Ama kweli mchina kiboko.
Maana mdada kachongwa na hiyo yote ili tu afurahishe wanadamu. Aiseee.
HahaaWamrudishie hela yake tu, matako badala ya kuyaweka nyuma wameyaweka miguuni
Uwelewa wako una matege sio bureHilo ni OG
Kawaida mwanamke yeyote anapobalehe hutanuka nyonga
Duuh. Ama kweli mchina kiboko.
Maana mdada kachongwa na hiyo yote ili tu afurahishe wanadamu. Aiseee.
Hizo picha zingine ni kabla hajabalehe
hivi unaona vizuri kweli, hizo picha zote ni za ukubwaniHizo picha zingine ni kabla hajabalehe