Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

Papa Francis amevaa hayo mavazi huko kama kiongozi wa dini, ila wewe Mmatumbi umevaa hilo dera hata kwenye kazi za vibarua, kila siku unaburuza hilo dera eti ufanane na Muarabu.
Mimi sijavaa kwa kuwaiga waarabu ni vazi tu nimelipenda kama alivyolipenda papa.
Na wewe jaribu tu utalipenda kama sisi.
 
Kuna siku niliwahi kusema hivi ni vikundi ni mali za watawala kwa malengo wanayojua wao
Hapa Deligado ukubwa wake haufiki Wilaya ya Kinondonu sasa iweje kikundi kidogo kwenye eneo dogo kushindikane?

Hivi karibuni wakipekeka Mescenaries kutoka Russia na Rwanda, je wameshindwa?
 
ukifaikilia behind the kapeti kuna ya wano support ili walime hayo mafuta then wasepe............................................................................. case study hapa africa ni nchi nyingi sana.... ila kwa tz kule mtwala ilishindikana yalipo anzia kibiti ,,ikaonekana tanzania ni nchi imara kwenye ulinzi
 
Kwamba kibiti walikuwa wanafata nini?
 
Nyusi nimemdharau sana kwa hili
nyusi hana power ya kuwatokomeza magaidi hao, ingekuwa kama rais wa rwanda au tanzania hao magaidi wangeshafyagiliwa mbali kabla ya kupata eneo la kutamba. Eti mpaka asaidiwe na majeshi kutoka nje! Hayo magaidi yanatikiwa yafurushwe huko, yakija mpakani mwa tanzania nako yachapwe, mbona siku nyingi tu kusingekuwa na mbwa wanaoitwa islamic state huko cabo delgado? Tz mbwa yeyote anayeanzisha ushenzi huo anadhibitiwa mapema kabla hajaeneza ushenzi wake hukohuko anakoswali kwenye majumba yao wanakokusanyika. Strategy ya usalama wa nchi ya msumbiji ni poor kabisa.
 
Hao ni masalia ya Waasi wa Chama Cha siasa kiitwacho RENAMO, wala siyo magaidi wa kiislamu kama wanavyoitwa. Mgogoro huo purely ni mgogoro wa kisiasa, Suala la dini au udini linatumika tu na wahusika ili waweze kupata msaada wa kijeshi na Silaha za kupigania Vita dhidi ya maadui zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…